Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole babyHalafu hizi username mnazobadili mnatuchanganya wajameni [emoji1787][emoji1787][emoji1787] hadi nimefuatilia profile ndio nimekujua, aisee hata sikufikiria
Basi usichelewe, mwaka wako huu mkuu.😀Hapana yupo
Hajawa badirisha 🆔 kwenye Mitandao yote ni hiyo hiyo nawasiliana nae!
Labda awe nazo mbili
Infact mpk no tunazo sio humu tu!😂
Cheers Babu,🥂🥂🥂 ila nisaidie kumuuza huyo kitoweo unitumie hizi shekeli zitakazopatikana🤣Amen Mjukuu
Bibi yako atafurahi sana kupokea salamu zako
Kwa kuwa kesho ni mwaka mpya ngoja nikutumie yule jogoo mkubwa umfanye kitoweo wakati ukifurahia sikukuu yako...
Enjoy 🥂
Unachombezaaa wewe 🤣🤣Basi usichelewe, mwaka wako huu mkuu.😀
YaaniHaya mambo yako ndio siyatakagi Mimi🤣🤣🤣🤣Ndio maana nakuitaga mchuzi bado wa motooo unywe supu we unatokea baada ya masaa SITA watu washakula nyama zote bakuli linaenda kuoshwa.
We endelea kuomba bwana😁
Amen.Ni kweli huwa sikuoni mitaa kama hii. Mwaka ukawe mwema kwako pia
Aah the guy he is very handsome,I mean handsome mpk sio vzrBasi usichelewe, mwaka wako huu mkuu.😀
Saaaassaa je Humu Humu Kwenye mambo madogo ndiko makubwa yalipojificha.
Mbona sisi tukiwapa hua hatuumii, ?Halafu ss sikujua km kanieoewa au vipi nikawa naogopa, akinipa huyu nitaumia sbb nampenda!
Nikaamua nisimpe,Bora niumie sijampa kuliko niumie Kwa vyote ,kumpa na kuachwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu Sina hakika km kaoa maana sioni ht dalili labda km kaamua kutoweka mambo yake kwenye Mitandao, ngoja nimcheki[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23]
Nikiweka [emoji723] yake hapa utashangaa sn,sahivi hayupo active sn km zamani ila yupo
Arteta amefanya hadi Bibi yako leo nipoteze hamu ya kumsalimia....We mzee si mumroge arteta, ana zingua kinyama😂😀🤒
🤣🤣🤣🤣Vikao Tena,unataka kunipa ugonjwa wa Figo legend nivimbe miguu nife....mi nataka amani tu uzee wanguKumbe na sie tumekuwa wa hovyo tu!🤣🤣 hem mseme huyo mzee wa hovyo nimuweke kikao!
Eeeh, nampigia chapuo the unknown apewe tam🤣Unachombezaaa wewe 🤣🤣
Ila mlikaa kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana. Bila shaka ulimpatia hadi ka kid...Yes, ndoa sio kitu rahisi jamani. Haifai kukurupuka, Alhamdulillah.
Si unaona tumeachana kwa amani, hakuna drama za talaka.
Kupeana macho tena doh!Muulize tu alimpa mpaka jicho maana alisema Lulu anampa Jicho Alikiba,
Mtanange Umeanza tangu saa moja huu😂😂😂
Halafu tamu ya dada mlokole ujue?Eeeh, nampigia chapuo the unknown apewe tam🤣
Mmmh sijui😂Mbona sisi tukiwapa hua hatuumii, ?