Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Halafu ss sikujua km kanieoewa au vipi nikawa naogopa, akinipa huyu nitaumia sbb nampenda!

Nikaamua nisimpe,Bora niumie sijampa kuliko niumie Kwa vyote ,kumpa na kuachwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Halafu Sina hakika km kaoa maana sioni ht dalili labda km kaamua kutoweka mambo yake kwenye Mitandao, ngoja nimcheki[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23]
Nikiweka [emoji723] yake hapa utashangaa sn,sahivi hayupo active sn km zamani ila yupo
Mbona sisi tukiwapa hua hatuumii, ?
 
Back
Top Bottom