Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Ndio maana sipendi mapenzi nachukia sana ni mambo magumu ya ya kufedhehesha kuwekeza fyraha kwa mtu hapana nimeachana na mapenzi nikiwa na 19yrs na hata milele Mungu ajalie hili nidumu kwa muda mrefu

Nifah achana nae sisi tutakupa kampani jukwaani
Asante mwaya.

Ila usiyachukie mapenzi, hukumpata tu mtu sahihi.
 
Umenyanyua mikono juu? Handsome wanasemekana eti, eti wao ni malaya sana...halafu hawapendi kuzama..hahaha joking!
Sikumuonja ndo kosa nilifanya🏃
Kwahiyo sijui km kweli hawapigi deki😅🙄
Umalaya,wengi wao yes!
Halafu nilihisi atakua kagnga gonga humu kimya kimya
Hakuna demu anachomoa pale,Tena zamani walikuwa na party za kuonana ,mmmh🙌🤣🙌😅🙄
 
Back
Top Bottom