Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Sikumuonja ndo kosa nilifanya🏃
Kwahiyo sijui km kweli hawapigi deki😅🙄
Umalaya,wengi wao yes!
Halafu nilihisi atakua kagnga gonga humu kimya kimya
Hakuna demu anachomoa pale,Tena zamani walikuwa na party za kuonana ,mmmh🙌🤣🙌😅🙄
Aaaah kama ni handsome na kuna namna kasalimiana na wadau, basi huenda ana msururu wake, haya mambo si tushasema ni ya kawaida tu kwa sasa, muhimu ni usiri...
 
Back
Top Bottom