Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Ndio maana sipendi mapenzi nachukia sana ni mambo magumu ya ya kufedhehesha kuwekeza fyraha kwa mtu hapana nimeachana na mapenzi nikiwa na 19yrs na hata milele Mungu ajalie hili nidumu kwa muda mrefu

Nifah achana nae sisi tutakupa kampani jukwaani
Asante mwaya.

Ila usiyachukie mapenzi, hukumpata tu mtu sahihi.
 
Umenyanyua mikono juu? Handsome wanasemekana eti, eti wao ni malaya sana...halafu hawapendi kuzama..hahaha joking!
Sikumuonja ndo kosa nilifanyaπŸƒ
Kwahiyo sijui km kweli hawapigi dekiπŸ˜…πŸ™„
Umalaya,wengi wao yes!
Halafu nilihisi atakua kagnga gonga humu kimya kimya
Hakuna demu anachomoa pale,Tena zamani walikuwa na party za kuonana ,mmmhπŸ™ŒπŸ€£πŸ™ŒπŸ˜…πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…