Aaaah kama ni handsome na kuna namna kasalimiana na wadau, basi huenda ana msururu wake, haya mambo si tushasema ni ya kawaida tu kwa sasa, muhimu ni usiri...Sikumuonja ndo kosa nilifanya🏃
Kwahiyo sijui km kweli hawapigi deki😅🙄
Umalaya,wengi wao yes!
Halafu nilihisi atakua kagnga gonga humu kimya kimya
Hakuna demu anachomoa pale,Tena zamani walikuwa na party za kuonana ,mmmh🙌🤣🙌😅🙄
🤣🤣Eti ya kawaidaAaaah kama ni handsome na kuna namna kasalimiana na wadau, basi huenda ana msururu wake, haya mambo si tushasema ni ya kawaida tu kwa sasa, muhimu ni usiri...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bora umeweka wazi,, huna majigambo,,
Kuna yule kenge mmoja alipgwa tukio hana hamu,,
Sio mwakani, sema kuanzia saa 6😀😂Ila Ligi inazidi kuwa ngumu
Tuombe mwakani tufanya usajiri wa CF vinginevyo tutaishia top 4
Nimeamua nikutumie sehemu ya pension yangu Mjukuu 🤗Ushapata mteja usiku huu huu Babu?au unahamisha za Tanzania Commercial bank🤣🤣
Nifaha🙌😅Siko kwenye hiyo nafasi tena, yupo anayenidekeza sio kuninyoosha.
Tutaniane basi
Sio mbaya, hiyo 32 kwa mwaka 2024 bado upo pazuri, halafu ushapanda mti mwingine baada ya ule kupitiwa na mafuriko ni hatua nzuriNilijiunga JF nikiwa binti mdogo, sasa kwenye early 30’s
Hope nimeweka sawa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤠🤣🤣🤣 bora umeweka wazi,, huna majigambo,,
Kuna yule kenge mmoja alipgwa tukio hana hamu,,
Ha ha ha kweli mkuu na bado unazidi kukimbia zaidiKama ulivyotabiri page ya 45 sasa ,hii inchi ina kitu itafika mbali..
Kweli Mzee wenu nimezeeka 😜Sio mwakani, sema kuanzia saa 6😀😂
Acha niendelee kutangaza amani 🙏😀Jmn bye
Naenda church
Haya mambo bila Jehova hatutoboi
Aisee hapo wanafeli sana kushindwa kuzama,,,uhandsome wao unakuwa kazi bureeeee🤣🤣🤣🤣🤣wanakuwa hata hawasisimui hata ukiwaangalia🏃🏃🏃Umenyanyua mikono juu? Handsome wanasemekana eti, eti wao ni malaya sana...halafu hawapendi kuzama..hahaha joking!