Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

We unapenda vya chinichini weka wazi watu tujue,,,,sio na kale ka girl Kako ka Missy Gf mnatuchanganyia habari ,mara mnajikausha,mara mnajiweka wazi mnatuchanganya wambea!Hebu semeni kweli tujue😜😜
Kheee shogaangu usijenizulia ya kuzua
Halafu mimi sio ka girl
Hakuna kinachoendelea kati yetu mambo ya jf usiyachukulie serious sana
 
Huyo dada muongeze maokoto inaonesha ni muhudhuriaji mzuri wa vikao vyetu 🤣🤣😍
 
Una maono kiasi, utafika mbali 🤣👏🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…