Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah
Moyo ni wakΓ² una uhuru uchague mahali salama.
Ninaamini umefanya maamuzi sahihi, nijuavyo mtu kamwe hawezi kuacha kitu cha thamani, hivyo kama mapenzi yameisha, uko huru kumchagua umpendaye.
Asikusumbue mtu kwa kejeli...kuwa imara, humu watu wananuka matatizo wanataka pa kumua
 
Mara nyingi wapenzi hushindwa kuukubali ukweli kwamba safari yao imefika mwisho. Hivyo pamoja na kuwapa pole kwa kutengana inabidi pia niwapongeze kwa kuchukua maamuzi hayo magumu. Nawaombea furaha ya kweli na muishi maisha ya kutojutia uamuzi wenu.
 
Mnatuchanganya huyu ndio huyo BOLD au Kuna njemba nyingi maana maneno haya yana ukakasi

BOLD mmeachana August 2023

Huyu mlieachana mkarudiana mpk sasa hivi mambo ni burudanii ni nanii?

Najaribu #$najaribu, microphone test View attachment 2858971
Unajichanganya mwenyewe, niliyeachana nae August namuongeleaje Nov?

Huyo ni mpenzi wangu wa sasa, usipoelewa subiri kuna siku nitamuongelea kwa kina.
 
Maneno yenye hekima tele, asante sana.

Mungu ananiongoza, amenipa kilicho bora Alhamdulillah πŸ™πŸ½
 
Mara nyingi wapenzi hushindwa kuukubali ukweli kwamba safari yao imefika mwisho. Hivyo pamoja na kuwapa pole kwa kutengana inabidi pia niwapongeze kwa kuchukua maamuzi hayo magumu. Nawaombea furaha ya kweli na muishi maisha ya kutojutia uamuzi wenu.
Amen, Mungu akubariki πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
 
Kwa kuwa vifaa vyako vya kazi kama mwanamke kwa ajili mme ajaye umebaki navyo na havikuharibiwa basi .

Heri ya MWAKA MPYA 2024

Ngojawenye mchi waje kinu watakikuta huko hukoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
🀣🀣🀣

Heri ya mwaka mpya Mkuu
 
Hapana jamani, nilipambana mwenyewe na wala kaka mzuri hakuwa na taarifa ya chochote hadi tulipoachana kabisa na mimi kukaa sawa ndipo akaingia yeye 😊
 
Hapana jamani, nilipambana mwenyewe na wala kaka mzuri hakuwa na taarifa ya chochote hadi tulipoachana kabisa na mimi kukaa sawa ndipo akaingia yeye 😊
Aisee hata ungetangaza jimbo liko wazi nisingeweza ushindani sina vigezo. Ila wanaume tunachapiwa sana The Bold naye atangaze ule mchepuko uliowasambaratishaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…