Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Kuna mataifa yanapigana vita baridi kwenye hii ardhi ya Ukraine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SafiUmefanya vizuri sana kuweka wazi, watu tunakuzimia tunaogopa kuingilia
This time na wewe kamatia, fanya kweli halafu kula kimya, watu waongee weee, mwisho watanyamaza...wewe tafuna kitu roho inataka..sawa eeKweli bato zilianza muda humu kitambo sana watu wanapigwa vita
.Nimependa hapo pa kuhamishia uraiani.
Msalimie sana Mama P
Mara nyingi wapenzi hushindwa kuukubali ukweli kwamba safari yao imefika mwisho. Hivyo pamoja na kuwapa pole kwa kutengana inabidi pia niwapongeze kwa kuchukua maamuzi hayo magumu. Nawaombea furaha ya kweli na muishi maisha ya kutojutia uamuzi wenu.View attachment 2858656
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mapenzi yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mapenzi yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.
Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.
Mapenzi ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.
Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika maisha mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.
Nifah
Unajichanganya mwenyewe, niliyeachana nae August namuongeleaje Nov?Mnatuchanganya huyu ndio huyo BOLD au Kuna njemba nyingi maana maneno haya yana ukakasi
BOLD mmeachana August 2023
Huyu mlieachana mkarudiana mpk sasa hivi mambo ni burudanii ni nanii?
Najaribu #$najaribu, microphone test View attachment 2858971
Maneno yenye hekima tele, asante sana.Nifah
Moyo ni wakò una uhuru uchague mahali salama.
Ninaamini umefanya maamuzi sahihi, nijuavyo mtu kamwe hawezi kuacha kitu cha thamani, hivyo kama mapenzi yameisha, uko huru kumchagua umpendaye.
Asikusumbue mtu kwa kejeli...kuwa imara, humu watu wananuka matatizo wanataka pa kumua
Amen, Mungu akubariki 🙏🏽🙏🏽Mara nyingi wapenzi hushindwa kuukubali ukweli kwamba safari yao imefika mwisho. Hivyo pamoja na kuwapa pole kwa kutengana inabidi pia niwapongeze kwa kuchukua maamuzi hayo magumu. Nawaombea furaha ya kweli na muishi maisha ya kutojutia uamuzi wenu.
Uzuri umefundwa sana. Unazingatia ushauri wa mafiga matatu au ndoo kubwa na kidumu cha mkononi. Yaani wakati The Bold anazingua mwingine alikuwa alikuwa anatest mitambo.😂😂😂🏃♂️🏃♂️🤣🤣🤣
Heri ya mwaka mpya Mkuu
Hapana jamani, nilipambana mwenyewe na wala kaka mzuri hakuwa na taarifa ya chochote hadi tulipoachana kabisa na mimi kukaa sawa ndipo akaingia yeye 😊Uzuri umefundwa sana. Unazingatia ushauri wa mafiga matatu au ndoo kubwa na kidumu cha mkononi. Yaani wakati The Bold anazingua mwingine alikuwa alikuwa anatest mitambo.😂😂😂🏃♂️🏃♂️
Kongole
Aisee hata ungetangaza jimbo liko wazi nisingeweza ushindani sina vigezo. Ila wanaume tunachapiwa sana The Bold naye atangaze ule mchepuko uliowasambaratisha😂😂Hapana jamani, nilipambana mwenyewe na wala kaka mzuri hakuwa na taarifa ya chochote hadi tulipoachana kabisa na mimi kukaa sawa ndipo akaingia yeye 😊