Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Kwahiyo hapa watu wanajipigia tu. Anaacha huyu anachukua huyu. Kwahiyo wewe ni sawa na daladala tu. Anashuka huyu then anapanda mwingine. Ila kwa umbea na uzushi unaozushiaga wengine, ni kazi mwanaume kukaa nawe.Japokuwa umejikanyaga ila nimekusoma kwa umakini umenipa kitu ambacho nilikuwa sikijui!
Niliyeachana nae ni wa zamani na nimetoa taarifa rasmi maana niko na mwingine, huyu mpya bado ninae na tunapendana ileile.
Tulia sasa
Kumbe watu mkiachana hua mnaugua?😂 by the way happy new year mkuu.Sijawahi, na haikuwa hivyo.
Baada ya kuachana na kupona ndipo nilipompa nafasi mwingine.
Huyo ndo anakufaa sasa. 🤗Ndo ninachopitia mie hapa, baba tamu ang ni introvert, yaan anawaza mambo makubwa makubwa nae km jasusi hivii,
Kila nikitaka kumbadilisha, anaishia kuniambia mie ndo nibadilike niendane na yeye,hata sielewiii.
Nachokaaa wallah, ila simuachiii kwakee nimefika na mabegi nishatua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ndio nimetoka huko sasa, nimempata wa kufanana nae na ananiongoza vyema mnooo!Huyo ndo anakufaa sasa. 🤗
Ukipata wakufanana nae sana fujo zitakua nyingi, na hawezi kukurudisha kwenye mstari ikibidi.😁
ouky funga vizuri hilo file, Mungu awaongeze huku kwa kina b.. Mfike mbaliNimeweka wazi sababu yalikuwa mahusiano ya wazi na maarufu, mwenyewe si unaona?
Na pia yameisha nina mpenzi mwingine, watu wanajua yale ya zamani na wanaulizia… Unafikiri ingekuwaje mimi kuonekana na mwingine?
[emoji28][emoji28]sasa watu wasipige kisa nini ? zama PM uka jipigieKwahiyo hapa watu wanajipigia tu. Anaacha huyu anachukua huyu. Kwahiyo wewe ni sawa na daladala tu. Anashuka huyu then anapanda mwingine. Ila kwa umbea na uzushi unaozushiaga wengine, ni kazi mwanaume kukaa nawe.
Watunza risitiJf wanajua kujipa kazi ya kuweka rekodi sawa.
Kila neno lako jf linahesabiwa na kuwekwa kwenya rekodi kwa matumizi ya wakati ujao[emoji23]
Hivi na wale CC wapo wapo au ndo mtaachana tu😄😄.mdomo komaa.
Ujue mwanaume kusutwa haipendezi🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️