Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Kwahiyo hapa watu wanajipigia tu. Anaacha huyu anachukua huyu. Kwahiyo wewe ni sawa na daladala tu. Anashuka huyu then anapanda mwingine. Ila kwa umbea na uzushi unaozushiaga wengine, ni kazi mwanaume kukaa nawe.Japokuwa umejikanyaga ila nimekusoma kwa umakini umenipa kitu ambacho nilikuwa sikijui!
Niliyeachana nae ni wa zamani na nimetoa taarifa rasmi maana niko na mwingine, huyu mpya bado ninae na tunapendana ileile.
Tulia sasa