Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Japokuwa umejikanyaga ila nimekusoma kwa umakini umenipa kitu ambacho nilikuwa sikijui!

Niliyeachana nae ni wa zamani na nimetoa taarifa rasmi maana niko na mwingine, huyu mpya bado ninae na tunapendana ileile.
Tulia sasa
Kwahiyo hapa watu wanajipigia tu. Anaacha huyu anachukua huyu. Kwahiyo wewe ni sawa na daladala tu. Anashuka huyu then anapanda mwingine. Ila kwa umbea na uzushi unaozushiaga wengine, ni kazi mwanaume kukaa nawe.
 
Nifah kwanini umeamua kutuelezea haya yote?
Nimeweka wazi sababu yalikuwa mahusiano ya wazi na maarufu, mwenyewe si unaona?

Na pia yameisha nina mpenzi mwingine, watu wanajua yale ya zamani na wanaulizia… Unafikiri ingekuwaje mimi kuonekana na mwingine?
 
Ndo ninachopitia mie hapa, baba tamu ang ni introvert, yaan anawaza mambo makubwa makubwa nae km jasusi hivii,

Kila nikitaka kumbadilisha, anaishia kuniambia mie ndo nibadilike niendane na yeye,hata sielewiii.
Nachokaaa wallah, ila simuachiii kwakee nimefika na mabegi nishatua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ndo anakufaa sasa. 🤗

Ukipata wakufanana nae sana fujo zitakua nyingi, na hawezi kukurudisha kwenye mstari ikibidi.😁
 
Huyo ndo anakufaa sasa. 🤗

Ukipata wakufanana nae sana fujo zitakua nyingi, na hawezi kukurudisha kwenye mstari ikibidi.😁
Mimi ndio nimetoka huko sasa, nimempata wa kufanana nae na ananiongoza vyema mnooo!
Nyie mpaka napagawa nilichelewa wapi? 🤣
 
Nimeweka wazi sababu yalikuwa mahusiano ya wazi na maarufu, mwenyewe si unaona?

Na pia yameisha nina mpenzi mwingine, watu wanajua yale ya zamani na wanaulizia… Unafikiri ingekuwaje mimi kuonekana na mwingine?
ouky funga vizuri hilo file, Mungu awaongeze huku kwa kina b.. Mfike mbali
BTW sioni haja ya ww kujibu kila kitu hapa
 
Kwahiyo hapa watu wanajipigia tu. Anaacha huyu anachukua huyu. Kwahiyo wewe ni sawa na daladala tu. Anashuka huyu then anapanda mwingine. Ila kwa umbea na uzushi unaozushiaga wengine, ni kazi mwanaume kukaa nawe.
[emoji28][emoji28]sasa watu wasipige kisa nini ? zama PM uka jipigie
 
Back
Top Bottom