We naeOkay
Pumbafu weeeView attachment 2858656
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenziโฆ. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mahusiano yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mahusiano yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.
Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.
Mahusiano ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.
Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika safari ya maisha yake mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.
Nifah
KheePumbafu weee
Nimefanya nn mrembo?We nae
๐น๐น๐น Humu ndani.!!Mbona wengine tulistuka zamani ni ID mbili klakini mtu mmoja tu.
Ni vyema mapenzi feki umeuwa ki feki feki.
Unataka tufanyeje maana kila thread unayokutana nayo ni kuhusu ARVS zinaenda kuadimika ๐คฃ๐๐น๐น๐น Humu ndani.!!
Nani anafukua makaburi ya watu
Hamuwezi fukua makaburi taratib mpaka mtukananePumbafu weee
HamnaNimefanya nn mrembo?
Jf never boared, wala njugu ni wengi hapa jfUnataka tufanyeje maana kila thread unayokutana nayo ni kuhusu ARVS zinaenda kuadimika ๐คฃ๐
SanaaaJf never boared, wala njugu ni wengi hapa jf
Kwahiyo wadudu wameanza kupanda vichwani ๐น๐นUnataka tufanyeje maana kila thread unayokutana nayo ni kuhusu ARVS zinaenda kuadimika ๐คฃ๐
Na wanazidi kupanda tu tukiona neno ARVS๐Kwahiyo wadudu wameanza kupanda vichwani ๐น๐น
๐น๐น๐น wapelekeni kwa mwamposa waombewe..!!Na wanazidi kupanda tu tukiona neno ARVS๐
Bado hawajaanza, ila wanashangilia mno huko waliko,..wanaomba babu trump afanye kweli... matokeo yake ndo haya watu presha ๐ญ๐ญKwahiyo wadudu wameanza kupanda vichwani ๐น๐น
Afanye kweli nataka niwaone wazee wa kula tunda kimasihara suruali zinavyoshuka viunoni na kubaki vichwa vikubwa km siafu..!! ๐น๐นBado hawajaanza, ila wanashangilia mno huko waliko,..wanaomba babu trump afanye kweli... matokeo yake ndo haya watu presha ๐ญ๐ญ
Ni Kwanini AMEKUACHA?View attachment 2858656
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenziโฆ. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mahusiano yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mahusiano yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.
Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.
Mahusiano ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.
Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika safari ya maisha yake mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.
Nifah
Huu ushauri si mahali pake humu. Unataka sasa asinanii harakaharaka akae nazo hizo niege mpaka lini? Acha hizi weweNi wakati wa kutulia sasa, usiingie kwenye mahusiano mapya haraka haraka, mapenzi ya kweli hayahitaji haraka, nakuombea upate mtu mwingine aliye bora ambaye mtafunga pingu za maisha na kutengeneza kizazi kijacho.