Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Lakini hawa masela walivuma hadi kwenye sosho media.

Aliyerudi humu ni Nifah kutupa ukweli wa moyo wake.

Bold habari za jioni mzee🤣
 
😂 Wangekuua wewe
 
Ewe binti kiziwi nakuomba unikubalie tukaweze kuwa coplue kubwa na bora isiyovunjika kama ya huyu mshangazi Nifah

Najua walimwengu watakuja kujaribu kuvunja penzi letu shatashata ila nakuahidi nitasimama kidete na kuhakikisha halivunjiki kamwe😎
 
Tupe faida ya penzi lenu maana hasara ushatujuza
 
Mlitumia muda mwingi kujionyesha na kujitangaza kwa watu wafahamu mahusiano yenu badala mtumie huo muda kujenga na kuimarisha mahusiano yenu. Poleni, likawe funzo kwenu mpate kuinuka tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…