Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Kwanza ujasiri huu wa kuweka mahusiano Yao wazi wanatoaga wapi,Sijawahi kuamini kama ukiwa na mahusiano na mtu ni lazima muonyeshe watu Kuwa mnapendana
Sio lazima labda ifike hatua muhimu zaidi kama ndoa.
Ila mara nyingi, mwanamke anayekupenda anaweza weka wazi ila indirectly ili watu wafahamu kuwa she's taken ila anaweza mficha mtu mpaka wakati sahihi.
 
Yani mkiachana maswali ni mengi maneno pia mengi kiasi hata mkisalimiana watu lazima watengeneze story Haina afya ukiwa na mahusiano mengine pia
Bora kuficha had mfikie uchumba au ndoa
 
Back
Top Bottom