Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

View attachment 2858656

Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.

Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mapenzi yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mapenzi yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.

Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.

Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.

Mapenzi ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.

Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika maisha mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.

Nifah
Mulikutana kimjini mumeachana kimjini kubwa hakuna mwenye ngeu!
 
Hili nililijua mapema kabisa hata kabla hujaandika.

Uliza nilijuaje??.

Ila mapenzi ni usenge Sanaa.. ona jamaa kala mbunye weee Kwa miaka mingi mnoooo lkn mwisho mmetamanaz pengine hapo katikati wanaume wa kukuoa walikuja kwako ila ukawakataa Kwa ajili ya Jamaa.

Pengine hapo katikati umeshatoka mimba Kadhaa kadhaaaz hatimaye unakuja kuolewa na Good Boy ila ndo Ivo huzai.

Tuchukulie wee najamaa, mmekua wapenzi ukiwa na miaka 28, ongeza miaka mlopotezeana muda, hapo unagonga kama miaka 35 hivi !!!.

Miaka 35, maana yake unatafuta Mwanaume wa kuanzia miaka 37.

My Dear, mwanaume kuanzia miaka 37 Hajaoa ??? Awe Hajaoa, basi awe Hana hata Mwanamke ??? Hana hata mchumba???

Akiwepo wa hivo labda awe Hana Uchumi yaan Hana Kazi ,Hana Pesa, Hana chochote !!.

Na kama ana Pesa na kazi na Hajaoa Kwa huo Umri, maana yake ANA TABIA ZILE ZILE ZA THE BOLD ,zilizokufanya Muachane, yaan unaenda kukutana Tena na MTALAKA

mzunguko unarudi uleule wa Nifa-The Bold Mpya !!.

Hatari nayoiona?.

Unaweza Anza sema... No one can judge me .

Pia ukasema..... Ndoa sio lazimaa banaaaa Bora nitafute Watoto !!.

Mwisho..WANAUME TUACHE USENGEEE, HUWEZ PIGA PUMBU MTOTO WA MTU MIAKA YOTE HIYO ALAFU UMTEME.

Hata , Wadada hongereni, haiwezekan kuendelea kua kwenye Mahusiano na mwanaume anayekugonga bao la kuku dakika moja chalii!!.

MASELA WENZANGU WAKIUME NA KIKE NAWASHAURI...

MWANAMKE, HAKIKISHA UNAZINGATIA MAOKOTO YAKO KABLA YA KUANZA KUCHANUA MAPAJA OVYOOVYO YAAN KUWENI KAMA WALE WADADA WA TELEGRAM.

WANAUME, NAWASHAURI TUTAFUTE HELA ILI TINAPOTAKA NGONO AU WATOTO, TUPATE BILA KUWEKEZA MOYO SANA.

KOMENTI HII, NDIO UJUMBE WANGU WA KUWATAKUA MWAKA MPYA.
 
Si ndiyo...

Kuna hilo Husiano moja lilikuwaga humu
emoji1.png
Enzi hizo Bidada kila sehemu ni kumtaja jamaa...

Jamaa akija ana'like tu.. hajibu wala nini...Ni kama jamaa alikuwa hapendi ile kitu..

Sasa hivi sijui hata lilishiaga wapi
emoji1.png
Smart
Ila watu bhana...

Nifah ameamua kuandika sababu yeye ndiyo yupo active JF kwa sasa kuliko jamaa...na amekuwa akiulizwa maswali mengi kuhusiana na mahusiano yake na The Bold.. Na aliahidi ataleta uzi kabla ya mwaka kuisha au mwanzo wa mwaka( 2024) ataeleza kila kitu....

Sasa kosa lake hapo ni nini?

Wanaume acheni kujihesabia haki kwenye Mahusiano....
Mwendo ni ule ule ukisikia kenge anapiga kelele jua amefinywa sawasawa
 
Back
Top Bottom