Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,757
- 11,922
Hakuna wa kukusuta humu😂Sitaki Ugomvi mimi...na kusutwa sipo tayari...
Najiandaa kuupokea mwaka kipenzi[emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna wa kukusuta humu😂Sitaki Ugomvi mimi...na kusutwa sipo tayari...
Najiandaa kuupokea mwaka kipenzi[emoji28][emoji28][emoji28]
Mulikutana kimjini mumeachana kimjini kubwa hakuna mwenye ngeu!View attachment 2858656
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mapenzi yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mapenzi yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.
Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.
Mapenzi ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.
Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika maisha mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.
Nifah
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Naijua hii...Hakuna wa kukusuta humu[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1]Famchezo..Haha jamaa akaona isiwe tabu [emoji3][emoji3]
Bibi yako ana shida.
Mpaka nimeandika kimasai, badala ya kuandika za nikaachama sa [emoji1787]
Lakini tunajifunza kupitia makosa ya mwingine kwakweliMara Mia moja Fecebook kuliko Jf maana kule uwongo ni asilimia ndogo kuliko humu kwenye fake kila kitu.
Ila wewe panzi Mungu anakuona.Umefanya vizuri sana kuweka wazi, watu tunakuzimia tunaogopa kuingilia
Dr Lizzy Yani unacode nyingi sana za mdada mmoja yupo BOT...Nifah sini juzi tu hapa nimekusoma mahali ukisema mapenzi na baby wako uliyerudiana nae yamekolea ama??[emoji3061]
Au ndio kusema ulikua unaongelea mapya ambayo hutoyaweka wazi....??[emoji54][emoji851]
Hahahaaa..Mmmh......sad, ila bado kama siaminj
Shem smart anaendeleaje 😁😁Nimependa ulivowachanganya wafuatiliaji wambea
Safii
Hili nililijua mapema kabisa hata kabla hujaandika.View attachment 2858656
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mapenzi yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mapenzi yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.
Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.
Mapenzi ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.
Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika maisha mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.
Nifah
SmartSi ndiyo...
Kuna hilo Husiano moja lilikuwaga humuEnzi hizo Bidada kila sehemu ni kumtaja jamaa...![]()
Jamaa akija ana'like tu.. hajibu wala nini...Ni kama jamaa alikuwa hapendi ile kitu..
Sasa hivi sijui hata lilishiaga wapi![]()
Mwendo ni ule ule ukisikia kenge anapiga kelele jua amefinywa sawasawaIla watu bhana...
Nifah ameamua kuandika sababu yeye ndiyo yupo active JF kwa sasa kuliko jamaa...na amekuwa akiulizwa maswali mengi kuhusiana na mahusiano yake na The Bold.. Na aliahidi ataleta uzi kabla ya mwaka kuisha au mwanzo wa mwaka( 2024) ataeleza kila kitu....
Sasa kosa lake hapo ni nini?
Wanaume acheni kujihesabia haki kwenye Mahusiano....
✌
Umechachuka....Kapiga chini? Kwani yeye hawezi kupigwa chini?