Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Shida ya wanawake wa Jf bwana ujuaji, kujikuta much know...kujikuta wana connection, kujikuta wana maisha ya juu.
Utasikia nina project hapa nasogeza hebu kama kuna 5m isio na mashart assist me, hahaa 5m unaitaja kama pedi iliyoko dukani kwa Mangi acheni ushamba.

Halafu acheni tabia ya kuanzisha magaroup mnatu add, kisha mnatuuzia kei kila mmoja wetu inbox.

Yale magroup yaliyo anzishwa humu na admins ni wanawake nadhani mnayajua.

Am out

Afu Tunapenda sie ndo tusikilizwe sasa habari zangu ziwe zakweli zako za uongo na wakati watu wanatufahamu kuliko hata tunavojifahamu humu


Nifah kwahii akili ameupiga mwingi!
 
Kwahiyo unanishaurije? 🤣🤣🤣
Huyu wa sasa nimpe sharti hilo?

Ila mi sipendi kufosi, aamue mwenyewe. Kwakuwa tunapendana am good.
Mnapendana? Nae akae 4 years bila ndoa akuachie tu zawadi ya kua single maza

Uwe single maza kwa wanaume wawili?
Labda kama wewe ndo una matatizo wanashindwa kukuoa

lkn kama upo sawa, 2024 usiishe bila ndoa cz mnazeeka 30's hamna utoto wakuganda kwenye uchumba

Wewe ni mzuri sanaaaa, nilivyokuona hadi mimi nilichanganyikiwa sembuse mwanaume.

NB: Sijawahi kuolewa, Sio mshauri wa Ndoa.
 
Weeeee uzi wa kufungia mwaka
emoji23.png
emoji23.png
😂😂😂 mwenzangu
Ngachoka
 
Back
Top Bottom