Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Ni kama ilishaandikwa humu juu yenu kuachana.. kila nikikusoma nakuona upo bado ila hauko naye tena kimapenzi.

Mlivuma kama mwenzako Mahondwa or so..

Maisha yaendelee.. [emoji847]
Mahondaw alipotelea wapi yule Kiumbe?

Smart911 & Mahondaw walipendana kama vile Jack & Rose wa kwenye Titanic cruise ship JF.
Screenshot_2023-12-31-20-51-36-89_680d03679600f7af0b4c700c6b270fe7.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mtu unapata faida gani kutaka kuonekana uko juuuuu, ukimkazia kidogo unaombwa hadi luku ya elf 5.

Unajiuliza huyu kasahau kwamba katutangazia maisha yake ni grade A.

Halafu huyu niffer sio admin wa lile grop kweli?


Anajidai kwao coastal ya East afrika
Mi nimeongelea baadhi yetu humu kwa kujifanya wajuaji ishu za groups sijui hata kumbe kuna groups za kuuza humu doh!!!

Yani wanapenda wao ndio waongeee
wewe ukaee kimya tu
Uzuri Opinions are not fact hapo tu

Nifah Akili kubwaa hiii yaleo Nimependa alivotuchanganya wambea!
Safi
 
Back
Top Bottom