Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry, next time ukiona hujaelewa kitu ujue hakikuhusu.Vipi tena? Umeshapiga kamnyweso?
Huyo kid ni wa Ze Boldi?Mbona ni single Mom mkuu, anamtoto mmoja wakike, kuoa mtu mwenye mtoto nikazi kubwa.
😂😂😂ShemeleJidanganye uangukie pua kwa lidume au shemele nyuma ya fake ID [emoji1745][emoji28]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Na wewe tupia tujue nani mmepigana chini ili wadandiaji wajiandae..Haya bwana ,siwawezi wadada wa JF😄
Bado kipele hakijapata mkunaji kisawasawa.Mwisho wa kukaa na mtu kwenye mahusiano ni miaka miwili
Ikizidi hiyo miaka bila kunioa navunja hayo mahusiano.
Baby Heri ya Mwaka MpyaaWee naee
View attachment 2858656
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mapenzi yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mapenzi yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.
Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.
Mapenzi ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.
Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika maisha mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.
Nifah
HahahahHaya bwana ,siwawezi wadada wa JF😄
Si ndo Wana sema una kuwa effective 😂😀Hadi umepinda dadeki
ila dada umekosea timing.Sio vyema kuchukua hatua kwa haraka, jipe muda.
Muda umepita na amani ipo nimeweka wazi.
Haha hapana huyu wa sasa alisema mwenyewe kwamba kuna siku atamuweka wazi, sasa naona leo anakuja na habari za kutokuweka tena wazi mahusiano yake, ndio nataka nijue je hili tamko linajumuisha na huyu wa sasa au watakaofuataKwa hiyo unataka mwenzako apange msururu hapa kila mtu aujue[emoji1787][emoji1787], bora akawa na privacy tu manakeeee..
Hii taarifa najua ni ya kuhuzunisha ila haya mafataki ya mwaka mpya yanafanya nashindwa kucatch feelings[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mods imagine mtu anatoa taarifa ya kifo halafu ndo haya mafataki yamekakamaaa
Kiukweli kabisa...jf sio sehemu ya kuweka mambo yako sio ya mahusiano tu hata mengine yahusuyo maisha binafsiUkisoma comments humu ni kama vile watu wamefurahia hao wawili kuachana.
Hii itapelekea wengine kuogopa kuweka wazi mahusiano yao humu.
Na mnafanya na sisi Wazee wenu tuogope kuwatambulisha Bibi zenu kwa kuogopa mtatuchawia tuje kuachana Uzeeni [emoji12][emoji119]
Sema umemzalia jamaa vibinti vizuri mim nasubir vikue nilete Ngombe tu