Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Halafu ss sikujua km kanieoewa au vipi nikawa naogopa, akinipa huyu nitaumia sbb nampenda!

Nikaamua nisimpe,Bora niumie sijampa kuliko niumie Kwa vyote ,kumpa na kuachwa🤣🤣🤣

Halafu Sina hakika km kaoa maana sioni ht dalili labda km kaamua kutoweka mambo yake kwenye Mitandao, ngoja nimcheki🏃🏃🏃🏃😂😂
Nikiweka 🆔 yake hapa utashangaa sn,sahivi hayupo active sn km zamani ila yupo
Sio kwamba kabadilisha uhusika tu? Mambo ya humu yalivyo, hata kivuli chako kikwepe/usikiamini🤣🤣
 
Wewe ni extrovert yeye no introvert mkashindwana kiasili!

Huyu ni mkimya anawaza aandike kuhusu Somo jasusi fulani,lakini wewe Trend reader sanguine mcheshi ukajikuta unapiga story mwenyewe halafu ukataka umbadili awe mcheshi mwenye kuelewa mwitikio wa hisia zako na unapotaka uguswe Kihisia ukakuta ndio kwanza "ujasusi sebuleni" akiandika!

Aiseh,

Poleni sana!
 
🤣🤣🤣
Ndo kwanza nawaza kwenda church hapa nimechoka
Na Kuna kukesha plus ushirika wa meza ya Bwana.

Kulikuwa na nn jmn,khaa jf🙌🤔
Haya mambo yako ndio siyatakagi Mimi🤣🤣🤣🤣Ndio maana nakuitaga mchuzi bado wa motooo unywe supu we unatokea baada ya masaa SITA watu washakula nyama zote bakuli linaenda kuoshwa.
We endelea kuomba bwana😁
 
Usikufe Babu darling,mi nimejaa tele...
Amina ikawe heri kwetu site tuoone mwaka salama,,,
Mfikishishie bibi salam za upendo mkuu wa agape!
Amen Mjukuu

Bibi yako atafurahi sana kupokea salamu zako

Kwa kuwa kesho ni mwaka mpya ngoja nikutumie yule jogoo mkubwa umfanye kitoweo wakati ukifurahia sikukuu yako...

Enjoy 🥂
 
Back
Top Bottom