Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Very bright of you

Wengi wakiachana husihia kuchafuana na kulaumiana.
Umeweka wazi hapa kuwa mmeachana. Na anayeumia sana nyie kuachana akasaka sababu ni vyema akaja inbobo kuliko kukulazimisha kumwaga siri za sirini hadharani

Kudos

Demi mimi nawe tufike wapi ili unielewe
Thanks

Siwezi kusema tofauti na nilichokisema hapa, wengi wamenitafuta kwa kila namna ila nimeshikilia msimamo huuhuu.

Mapenzi yakiisha sio vita, ni vyema kuheshimu zile nyakati nzuri na kusonga mbele kwa amani.
 
Back
Top Bottom