Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

💪💪💪💪💪kunawatu mungu anajua kutujibia duazetu aiseee.
nakumbuka juzinilikesha kuomba baada yawewe niffah kusema unataka kuolewa namkiristo/kaafiri katika Imani

nikalalamika kwamungu kwanini unamtoa mjawako kwenye nuru nakumpeleka gizani☹️☹️

nikamuomba mungu azuie hilo hatimae mungu kazuia.mrembo niffah usihuzunike

kesho nisikumpya msahau anzaupya usije kufanya kama mahonda. temana nae mazima.
kwafuraha ulionipa njoo inbobo nikubariki sikukuu Yako hururain wangu
Huelewi kinachoendelea masikini!

Ila nafurahi kuona umefurahi, yote kheri.
 
Thanks

Siwezi kusema tofauti na nilichokisema hapa, wengi wamenitafuta kwa kila namna ila nimeshikilia msimamo huuhuu.

Mapenzi yakiisha sio vita, ni vyema kuheshimu zile nyakati nzuri na kusonga mbele kwa amani.

Nifah your brain work is next level. Salute!

Ninayo Imani ya kutosha kuamini kuwa msingi wa mgogoro ama tofauti za penzi lenu ni penzi lenu wenyewe. Kimombo niseme: methodological implementation and presentation of your love life. Hili ni hitimisho nimeikia baada ya kusoma maandiko yako kwenye sakata hili.

Imani yangu kwenu ni kuwa ikitokea mkaketi chini na kuamua kutanzua tofauti hizo, ikiwapendeza msione shida kupandisha daraja mahusiano yenu. Maana mnachopitia wakati huu ni misukosuko wa kawaida kabisa kwenye maisha ya mapenzi na mahusiano.

Hivyo wala usiwaze sana, wala usiumie moyo sana. Maana that's how the love pendulum swing on its axis

Best wishes
 
Back
Top Bottom