sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Thanks. ZimefikaKweli bato zilianza muda humu kitambo sana watu wanapigwa vita
.Nimependa hapo pa kuhamishia uraiani.
Msalimie sana Mama P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks. ZimefikaKweli bato zilianza muda humu kitambo sana watu wanapigwa vita
.Nimependa hapo pa kuhamishia uraiani.
Msalimie sana Mama P
Ila watu, dahThe Bold asingemuweza mwanamke mbea
Sijakasirika ila some people will take this issue seriousHeee usinismbie umekasirika???acha ujinga wewe bwana.....hakuna asiyejua huu ni utani....Pole anyway uanze mwaka na amani mrembo
Mungu akaweke neema hiyo kwetu sote Mkuu, Asante sana.
OkaysSijakasirika ila some people will take this issue serious
Tusije kumuharibia babu kwa koloni lake
Huu jioni tutimize Anniversary ya masaa 10Tuanze mwaka huu ama ujao?
Happy new yearHapana
Comment yangu imetokana na paragraph yake ya kwamba hataki mahusiano ya kuwa wazi Kwa watu
Kingine Pia nimetoa maoni yangu Kwa uelewa wangu haihusiani na maisha ya mtoa mada
Happy new yearHakuna cha kutulia analeta upumbavu kuna uzi mzuri wa mshana umefungwa kwa sababu ya kingese [emoji2955]
Unastahili kwakweli but why mmeachana? Ilikua ni couple bora ya mfano humu🤔Kwakweli nipeni maua yangu 🤣🤣🤣
Acha hizi mambo. Ng'ang'ana, shikamana, komaa. Wakati mwingine Malaika mleta riziki haji mara nyingi. Akipita amepita.View attachment 2858946
If you love something, let it go
If it comes back to you, it yours
If it doesn't , you never know.
Amiin, ni kweli dear, basi tunakutakia kila lakheri sehemu nyingine Mungu atakapokupeleka🙏I’m sorry darling.
Wakati mwingine ni vyema kuachia kuliko kuendelea kushikilia usipoona njia.
Ukitoka katika njia moja utaona nyingine, na kama una Mungu atakuongoza kwa iliyo bora zaidi.
Shusha ubuyu wake sasa kama unavyoshushaga wa wengine. Vipi jamaa hasimamishi nini na hawezi fanya kazi au jamaa ni punga kama unavyozushiaga wengine?😀😃😄😁😆😅View attachment 2858656
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mapenzi yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mapenzi yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.
Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.
Mapenzi ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.
Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika maisha mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.
Nifah
Japokuwa umejikanyaga ila nimekusoma kwa umakini umenipa kitu ambacho nilikuwa sikijui!ilawewe😁juzituu hapa kunamemba anaitwa mdukuzi aliweka uzi wakumtema mpenzi wake amekuja kupanga chumba kimoja maskini akitokea Tabata watu tukahisi niwewe ndio umetemwa
akaja mdakuzi kumuelewesha DEPO mana alikuwa anahisi wewe ndio umeachwa.
mdakuzi alimuambia DEPO "pole kwakushindwa kututofautisha" ulipo iona ile comment ukamuambia mdakuzi "polehio vipi beby?"
nijuzi tuu hapo hata wiki haijaisha leohii unasema mliachana kitambo?mbona muongo hivyo?
Msagie kunguni kama ulivyokuwa unawasagia kunguni Lulu na ali Kiba.Niko okay kabisa, ondoa shaka.
Hakuna jipya la kunivuruga akili hapa.