Nifahamisheni kuhusu Msanii Malaika (Diana Malaika Exavery)

Nifahamisheni kuhusu Msanii Malaika (Diana Malaika Exavery)

Anaitwa Diana Malaika Exavery Clavery.
Alikuwa anafanya visual lab kw adam kama artist make up kwa wasanii na ma model kwenye video jambo lililomfanya akutane na wasanii wengi.
Mwaka 2013 ndipo chegge alisikia sauti yake akaamua mshirikisha kwenye ngoma ya uswaz take away.
From there akapata confidence ya kuendelea n mziki.
Hajaolewa na hana mtoto...
Mambo Malaika
 
Dinazarde uje bas utupe wasifu wa msanii malaika.

*ana bunduki nzuri(pistol)
*ana mkia mzuri (chura)
*ana reception nzuri(sura)
*ana macho mazuri na tabasamu
*ana vocal nzuri ya kumtoa nyoka pangoni(sauti)
 
View attachment 429391
MALAIKA.jpg
Malaika-Msanii.jpg
mwantumu.jpg
MALAIKAA.jpeg
images
usiwe mvivu siku nyingine kagoogle
Kweli yupo poa...daaah
 
Back
Top Bottom