Nifanyaje ajue nampenda, nimechoka kujizuia

Nifanyaje ajue nampenda, nimechoka kujizuia

Wanaume gani hata hatuna ukaribu kiasi kwamba akaona mimi nazungumza na wenginee… tunakaa sehemu tofauti tunaonana mpk atake yeye ndio tunaenda out
mmhh!! Kwa maongez zaid bofya *149*PM# nikuelewesh vzr
 
Kama hakuonyeshi unaotaka bora ukae mbali nae

Usikose wengine na mume kakosa kama sio yeye.. akija tena atasema nia, akinyamaza endelea na maisha yako sio kumganda muwe wote kila mara na mitoko yote.

Sawa dear
 
Dada tafadhali Mimi sio msukuma mi mtu wa Kilimanjaro sema nimeishi tu usukumani, hua naelewa sana signal zako sema wanawake jamii yako ww sio vitu vyangu kbs huna taaa co ll, una sauti nzito kigimbi tani mbili & na mdomo unatema harufu mbaya

Mpaji ni Mungu wenye sifa zote hizo waliumbwa na Mungu so let us glorify the work of God
 
Back
Top Bottom