Nifanyaje ajue nampenda, nimechoka kujizuia

Ulishawah Ona kicheche anavotega huku hadi anaikamata??

Kicheche huwa anageuza kishundu chake kwenye upande anatokea kuja kudonoa akiingiza tu mdomo kwisha kazi! Kadakwa
 
Kwaiyo nyie wasukuma mkija mjini hampendi wanawake wenginee ama… hiyo kumu approch nimeghahiri nataka nifute namba ili ni moveon
Sisi hatuzingatii kupenda tunazingatia kujenga future.

Future hujengwa na familia imara yenye mama na baba bora.

Mjini kumejaa wanawake wengi wana -harakati ni ngumu kumpata mama bora.
 
Wafupi wa futi ngapii maana mimi kwake ni mfupi nafika kifuani kwake na yeye si mrefu ni wa kawaidaa
sasa kimtazamo wako huwez jiona kasoro. Yeye ndie anae ku describe. na features anazo taka
 
usawa mnaoutaka ndo huu sasa,

mmejifunza kutafuta hela kama sisi,

mjifunze kutongoza kama sisi,

na mzoee kukataliwa kama sisi.

Siku nikitaka kufa ndio nitakiri kuwa nampenda ila kwa sasa haiwezekani
 
Ulishawah Ona kicheche anavotega huku hadi anaikamata??

Kicheche huwa anageuza kishundu chake kwenye upande anatokea kuja kudonoa akiingiza tu mdomo kwisha kazi! Kadakwa

Fumbua fumbo
 
Sisi hatuzingatii kupenda tunazingatia kujenga future.

Future hujengwa na familia imara yenye mama na baba bora.

Mjini kumejaa wanawake wengi wana -harakati ni ngumu kumpata mama bora.

Mjini hata wanawake bora wapo ni vile tu mnaonaga kama mjini wanawake ni wahuni unajua aliwahi niambia wanawake wa usukumani ni tofauti na wa town sikutilia maanani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…