DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,021
- 30,904
I fell in love with your budgetKama una wategemezi, tufanye unaishi nao nyumbani.
Piga budget ya elfu 5 kwa siku. Wapike chakula nyumbani.
Kwa mwezi ni laki na nusu.
Wewe chai utakunywa nyumbani na dinner, lunch utakula kazini isizidi 2000 kwa siku. Kwa mwezi 50000.
Jumla 200k. Baki 200k.
Sasa hapa inabidi usave 100k kwa ajili ya ujenzi na 100k kwa ajili ya dharura kila mwezi.
Hapa utaweza kujenga kama una kiwanja tayari na utaanza kidogo kidogo.
Pia tafuta kazi za ziada za ku raise kipato chako. Kama umeoa na mke ajishughulishe ili aweze kukusaidia majukumu ya nyumbani mfano chakula nk.
daah, umenena saana, asante sana sana!View attachment 1342202
Igawe mara tatu
1/3 = Matumizi binafsi (nauli/msosi/vocha, chenchi ndogo ndogo eka kwa kibubuu etc)
1/3 = Akiba (lengo kubwa likiwa ujenzi) --- nkikustukizia na mimi sijajenga... sitakupa lift hata ka wanyeshewa mvua ama jua kali
1/3 = matumizi ya kijamii (zaka, michango muhimu kwa ndugu, ya kuhonga vitu vidogo vidogo, chenchi ndogo ndogo eka kwa kibubuu etc)
(1/3+1/3+1/3 = 1 = 400,ooo)
*Uwe mwaminifu katika hesabu ulizojiwekea
barikiwa sana sana, hapa tutanufaika wengi sasna, nakushukuruKama una wategemezi, tufanye unaishi nao nyumbani.
Piga budget ya elfu 5 kwa siku. Wapike chakula nyumbani.
Kwa mwezi ni laki na nusu.
Wewe chai utakunywa nyumbani na dinner, lunch utakula kazini isizidi 2000 kwa siku. Kwa mwezi 50000.
Jumla 200k. Baki 200k.
Sasa hapa inabidi usave 100k kwa ajili ya ujenzi na 100k kwa ajili ya dharura kila mwezi.
Hapa utaweza kujenga kama una kiwanja tayari na utaanza kidogo kidogo.
Pia tafuta kazi za ziada za ku raise kipato chako. Kama umeoa na mke ajishughulishe ili aweze kukusaidia majukumu ya nyumbani mfano chakula nk.
asante sana, barikiwa mnoSikushauri ujenge kwa kipato hicho,cha kufanya tafuta kipato cha ziada ambacho kitakuwezesha kupata mahitaji yako ya kila siku.Huo mshahara ukopee,pandisha nyumba yako,paua then malizia vyumba viwili hamia,sehemu iliyobaki utamalizia ukiwa hapo.Hii pia itasave hela ya kodi.Kutafuta kipato cha ziada sio lazima uwe na biashara kubwa,hata ukiuza ice cream kwenye shule yenye watoto wengi kwa siku unaweza pata faida sh10,000 na zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hela kubwa inaanzia kiasi gani mkuu ?
Kwahyo mungu ni mtegemezi?Huoni kama atakuwa anaongeza wategemezi
Nishajibu. Basi kama unaona hela hiyo nyingi unaweza jenga hata gorofa mkuu.akijibu nitag mkuu, binafsi naona hela kubwa sana hii, nasubiri tu mawazo yenu nichanganye na yangu nitoke
Kama wapiKama yupo mahali sahihi hatafilisika
chukulia kwamba kipato hicho unacho, ungefanyaje katika hali hiyo kujikwamua na kupanga?
Madam jibu swali hili kwanza.Hela kubwa inaanzia pale inapoweza kukidhi mahitaji yako na nyingine ukahifadhi. Mtu anakaa nyumban kula na kulala nyumbani kwao 400K inaweza kua hela nyingi kwake. Ila uwe unapanga una wategemezi wanne 400K ni hela ndogo kwa maisha ya sasa. Huwez sogea bila mikopo au kipato cha nje ya mshahara.
Madam jibu swali hili kwanza.
Man Of October
NdioKwahyo mungu ni mtegemezi?
Naomba nije pm mkuu. Nina shida binafsi na weweHela kubwa inaanzia pale inapoweza kukidhi mahitaji yako na nyingine ukahifadhi. Mtu anakaa nyumban kula na kulala nyumbani kwao 400K inaweza kua hela nyingi kwake. Ila uwe unapanga una wategemezi wanne 400K ni hela ndogo kwa maisha ya sasa. Huwez sogea bila mikopo au kipato cha nje ya mshahara.
Mwenyewe sipajui... Siku hizi usanii mwingi.Kama wapi
Naomba nije pm mkuu. Nina shida binafsi na wewe
Ndugu yangu wapi mkoani kuna uwanja wa 1.2m ? Labda umwambie aende huko vijijini atapata mashambaniWeka kila 30% ya mshahara wako kila mwezi. Kwa miezi 10 utakua na 1.2 m ambayo itakuwezesha kununua kiwanja kwa mikoani. Then baada ya hapo wekeza kidogo kidogo kwaajili ya tofali na mengineyo. Taratibu ndo mwendo
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kabisa. Atafute wenzake kama 8 wanaotaka plot, wakusanye nguvu wanunue eneo moja kubwa wagawane.Ndugu yangu wapi mkoani kuna uwanja wa 1.2m ? Labda umwambie aende huko vijijini atapata mashambani
Sent using Jamii Forums mobile app
Njombe vipo hadi m1 jirani tu na mjini kabisa paleNdugu yangu wapi mkoani kuna uwanja wa 1.2m ? Labda umwambie aende huko vijijini atapata mashambani
Sent using Jamii Forums mobile app
sitaki kua mnafiki mkuu, ukianza kujinyima tu wewe na wategemezi mtakula maweaisee, mbona naona kama naweza, nisadiie mawazo yako chanya
AMEN!!!!Usiogope maana inawezekana, we tafuta namna uwe na kiwanja kwanza
Kazi kubwa ni kiwanja. Mengine ni taratibu. Halafu pambana usijiwekee kuwa ww uwezo wako ni laki nne, kama umewaza kujenga inamaana uwezo wako ni mkubwa sema hujautumia tu, ukianza kujenga milango inaweza funguka. Kila la heri.