Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,955
Hesabu ya hovyo sana hii.Kama una wategemezi, tufanye unaishi nao nyumbani.
Piga budget ya elfu 5 kwa siku. Wapike chakula nyumbani.
Kwa mwezi ni laki na nusu.
Wewe chai utakunywa nyumbani na dinner, lunch utakula kazini isizidi 2000 kwa siku. Kwa mwezi 50000.
Jumla 200k. Baki 200k.
Sasa hapa inabidi usave 100k kwa ajili ya ujenzi na 100k kwa ajili ya dharura kila mwezi.
Hapa utaweza kujenga kama una kiwanja tayari na utaanza kidogo kidogo.
Pia tafuta kazi za ziada za ku raise kipato chako. Kama umeoa na mke ajishughulishe ili aweze kukusaidia majukumu ya nyumbani mfano chakula nk.
mungu[emoji777]Hapana Mkuu akiwa muaminifu kwa mungu atafunguliwa njia
Lunch gani na dinner 2000?Kama una wategemezi, tufanye unaishi nao nyumbani.
Piga budget ya elfu 5 kwa siku. Wapike chakula nyumbani.
Kwa mwezi ni laki na nusu.
Wewe chai utakunywa nyumbani na dinner, lunch utakula kazini isizidi 2000 kwa siku. Kwa mwezi 50000.
Jumla 200k. Baki 200k.
Sasa hapa inabidi usave 100k kwa ajili ya ujenzi na 100k kwa ajili ya dharura kila mwezi.
Hapa utaweza kujenga kama una kiwanja tayari na utaanza kidogo kidogo.
Pia tafuta kazi za ziada za ku raise kipato chako. Kama umeoa na mke ajishughulishe ili aweze kukusaidia majukumu ya nyumbani mfano chakula nk.
You are welcomeI fell in love with your budget
Umeona hiyo laki moja niliyoiweka kama ya dharura?. Au dharura wewe unaelewa ni nini?Hesabu ya hovyo sana hii.
Kwani wategemezi wanahitaji chakula tu?
Nguo na mavazi umesahau, matibabu, daftari n.k
Mimi naishi maisha duni ila 10000 inaisha kwa siku, nina wategemezi 3 tu
Hebu rudia kusoma TUTUO.
30% ni 1,440,000/= kwa mwaka unaweza kupata kiwanja, endelea kufanya hivyo utajenga na inaweza kumchukua miaka minne kukamilisha nyumba na kuhamiaWeka kila 30% ya mshahara wako kila mwezi. Kwa miezi 10 utakua na 1.2 m ambayo itakuwezesha kununua kiwanja kwa mikoani. Then baada ya hapo wekeza kidogo kidogo kwaajili ya tofali na mengineyo. Taratibu ndo mwendo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ujarogwa, ukiwa na mipango vizuri ya bajeti ktk fedha utafika sehemuMi nina kipato cha 820,000/ kwa mwezi lkn nashindwa kujipangilia cjui nimerogwaaaa!!!!! Yan cjui yan,,,,,wakati kuna jirani mwalimu ana kipato hakizidi 400,000 lakini anajibana na amejenga angalau
Umesahau kumwambia anunue baiskeli ya kuendea kazini maana mchanganuo wako hukuweka usafiri. Pia kama ni mtu wa totoz na yale maji ya dhahabu aache kabisa. Kodi ya hapo anapoishi inabidi asilipe kabisa, mkwepe landlord mwaka mzima[emoji23]Kama una wategemezi, tufanye unaishi nao nyumbani.
Piga budget ya elfu 5 kwa siku. Wapike chakula nyumbani.
Kwa mwezi ni laki na nusu.
Wewe chai utakunywa nyumbani na dinner, lunch utakula kazini isizidi 2000 kwa siku. Kwa mwezi 50000.
Jumla 200k. Baki 200k.
Sasa hapa inabidi usave 100k kwa ajili ya ujenzi na 100k kwa ajili ya dharura kila mwezi.
Hapa utaweza kujenga kama una kiwanja tayari na utaanza kidogo kidogo.
Pia tafuta kazi za ziada za ku raise kipato chako. Kama umeoa na mke ajishughulishe ili aweze kukusaidia majukumu ya nyumbani mfano chakula nk.
...🤔🤔🤔... hili linafikirisha sana kusema kweli.Umesahau kumwambia anunue baiskeli ya kuendea kazini maana mchanganuo wako hukuweka usafiri. Pia kama ni mtu wa totoz na yale maji ya dhahabu aache kabisa. Kodi ya hapo anapoishi inabidi asilipe kabisa, mkwepe landlord mwaka mzima[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app