R Mbuna
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,283
- 5,371
Habari za usiku wanajamvi.
Kwanza nikiri kuwa nilifanya uzembe Kwa kuleta ujamaa kwenye biashara.
Nashughurika na Mambo ya Logistics sasa last year kuna jamaa yangu mmoja alifungua kampuni ya clearing & Forwarding Ila kupata kazi ilikuwa kipengele hivyo akaniomba nimpasie angalau wateja wawili naye ofisi iwe busy . Kiroho Safi nilimpasia mteja mmoja ambaye Kwa kuanzia alimpa container 8 za kupeleka Rwanda.
Ila quotations nilitoa Mimi nikampa averify akiona itamlipa basi aendelee Ila akiona haina faida aache. Akajiridhisha akasema anaweza Ku handle Ile business. Basi akapewa advance 50% ya makubaliano kuwa iliyobaki atapewa container zikifikq na kuwa offloaded.
La haula aliotoa container nne tu akasema Hana hela ya kumalizia zilizobaki hapo ndio shida ilipoanzia. Hela alichukua nyingi kulikokazi aliyofanya uwezo wa kurudisha hela iliyobaki Hana . Nikapiga mahesabu nikaona Kwa hapa palipobaki akipewa angalau Dola elfu 6 anamalizia nikaongea na mteja akakubali kulipa hiyo hela.
Hapo pia akatoa mbili zikabaki mbili mteja akagoma kuongeza hela .
Ikabadi zilizobaki nitoe Mimi Kwa kampuni yangu sasa gharama ikazidi USD 1800 ambayo sijui yeye alikosea wapi kwenye operations zake ndio maana hela haikumtosha. Mimi namdai hiyo hela tangu December mpaka sasa hivi simu zangu hapokei na kila nikienda ofisini kwake simkuti.
Kosa nililofanya there was no signed agreement for both parties. Hivyo hata kudai kisheria nashindwa.
Naomba nipate msaada wa mawazo how can I get my money back. The guy inaonekana intentionally Hana Nia ya kunilipa.
Thanks nitasom mawazo yenu.