Nifanyaje ili niweze kuipata hii hela

Nifanyaje ili niweze kuipata hii hela

R Mbuna

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
2,283
Reaction score
5,371
Habari za usiku wanajamvi.

Kwanza nikiri kuwa nilifanya uzembe Kwa kuleta ujamaa kwenye biashara.

Nashughurika na Mambo ya Logistics sasa last year kuna jamaa yangu mmoja alifungua kampuni ya clearing & Forwarding Ila kupata kazi ilikuwa kipengele hivyo akaniomba nimpasie angalau wateja wawili naye ofisi iwe busy . Kiroho Safi nilimpasia mteja mmoja ambaye Kwa kuanzia alimpa container 8 za kupeleka Rwanda.

Ila quotations nilitoa Mimi nikampa averify akiona itamlipa basi aendelee Ila akiona haina faida aache. Akajiridhisha akasema anaweza Ku handle Ile business. Basi akapewa advance 50% ya makubaliano kuwa iliyobaki atapewa container zikifikq na kuwa offloaded.

La haula aliotoa container nne tu akasema Hana hela ya kumalizia zilizobaki hapo ndio shida ilipoanzia. Hela alichukua nyingi kulikokazi aliyofanya uwezo wa kurudisha hela iliyobaki Hana . Nikapiga mahesabu nikaona Kwa hapa palipobaki akipewa angalau Dola elfu 6 anamalizia nikaongea na mteja akakubali kulipa hiyo hela.

Hapo pia akatoa mbili zikabaki mbili mteja akagoma kuongeza hela .

Ikabadi zilizobaki nitoe Mimi Kwa kampuni yangu sasa gharama ikazidi USD 1800 ambayo sijui yeye alikosea wapi kwenye operations zake ndio maana hela haikumtosha. Mimi namdai hiyo hela tangu December mpaka sasa hivi simu zangu hapokei na kila nikienda ofisini kwake simkuti.

Kosa nililofanya there was no signed agreement for both parties. Hivyo hata kudai kisheria nashindwa.

Naomba nipate msaada wa mawazo how can I get my money back. The guy inaonekana intentionally Hana Nia ya kunilipa.

Thanks nitasom mawazo yenu.
 
Hapo inabidi uende nae taratibu, ongea nae kama hawezi kuilipa yote basi muingie makubaliano awe analipa kwa installment usiache hela. Inaonekana unampa pressure too much, ndio maana mpaka ofisi yake imekuwa ya moto.
Hela ya biashara, ikitoka ni document ikiingia ni document ndio maana wazee walisema "Mali bila daftari.........."
 
Hapana Mkuu simpi pressure Ila nahisi anaona aibu kunikabili sasa na Mimi nataka kuongea naye kama ulivyosema na ndivyo nilivyodhamiria kunilipa yote Kwa wakati huu hawezi.

Ila sasa ilitakiwa tuonane ndio mipango na makubaliano yafanyike akinikwepa nahisi kama ana nia ya kunidhulumu.
 
Habari za usiku wanajamvi.
Kwanza nikiri kuwa nilifanya uzembe Kwa kuleta ujamaa kwenye biashara.

Nashughurika na Mambo ya Logistics sasa last year kuna jamaa yangu mmoja alifungua kampuni ya clearing & Forwarding Ila kupata kazi ilikuwa kipengele hivyo akaniomba nimpasie angalau wateja wawili naye ofisi iwe busy . Kiroho Safi nilimpasia mteja mmoja ambaye Kwa kuanzia alimpa container 8 za kupeleka Rwanda.

Ila quotations nilitoa Mimi nikampa averify akiona itamlipa basi aendelee Ila akiona haina faida aache. Akajiridhisha akasema anaweza Ku handle Ile business. Basi akapewa advance 50% ya makubaliano kuwa iliyobaki atapewa container zikifikq na kuwa offloaded.

La haula aliotoa container nne tu akasema Hana hela ya kumalizia zilizobaki hapo ndio shida ilipoanzia. Hela alichukua nyingi kulikokazi aliyofanya uwezo wa kurudisha hela iliyobaki Hana . Nikapiga mahesabu nikaona Kwa hapa palipobaki akipewa angalau Dola elfu 6 anamalizia nikaongea na mteja akakubali kulipa hiyo hela.

Hapo pia akatoa mbili zikabaki mbili mteja akagoma kuongeza hela .

Ikabadi zilizobaki nitoe Mimi Kwa kampuni yangu sasa gharama ikazidi USD 1800 ambayo sijui yeye alikosea wapi kwenye operations zake ndio maana hela haikumtosha. Mimi namdai hiyo hela tangu December mpaka sasa hivi simu zangu hapokei na kila nikienda ofisini kwake simkuti.

Kosa nililofanya there was no signed agreement for both parties. Hivyo hata kudai kisheria nashindwa.

Naomba nipate msaada wa mawazo how can I get my money back. The guy inaonekana intentionally Hana Nia ya kunilipa.

Thanks nitasom mawazo yenu.

You cant get your money back hata ungekuwa na mkataba, hilo ni somo la kwa nini hutakiwa kucheza na fursa za Biashara.
 
Mm nimekoma kufanya biashara za kuaminiana aloo acha tu pesa zote izo umeweza kutengeneza hukuwah jua hicho kitu kua n kinaweza kufanya ufirisike
Hapo kesi n mahamakan tu mzee polisi hawana uwezo na hataweza kulala polisi
 
Ukimpeleka mahakaman mahakama haikulipi, inashinikizwa tu akulipe na utaishia kulipwa kidogo kidogo.
Of course malipo yatakuwa kwa installment. Hapo ndio unaona madhara ya urafiki. Unaweza kosa pesa zako na urafiki ukafa kabisaa. Na kwa namna nyingine jamaa anajiharibia maana katika biashara uaminifu ndio mtaji namba moja.
 
Habari za usiku wanajamvi.
Kwanza nikiri kuwa nilifanya uzembe Kwa kuleta ujamaa kwenye biashara.

Nashughurika na Mambo ya Logistics sasa last year kuna jamaa yangu mmoja alifungua kampuni ya clearing & Forwarding Ila kupata kazi ilikuwa kipengele hivyo akaniomba nimpasie angalau wateja wawili naye ofisi iwe busy . Kiroho Safi nilimpasia mteja mmoja ambaye Kwa kuanzia alimpa container 8 za kupeleka Rwanda.

Ila quotations nilitoa Mimi nikampa averify akiona itamlipa basi aendelee Ila akiona haina faida aache. Akajiridhisha akasema anaweza Ku handle Ile business. Basi akapewa advance 50% ya makubaliano kuwa iliyobaki atapewa container zikifikq na kuwa offloaded.

La haula aliotoa container nne tu akasema Hana hela ya kumalizia zilizobaki hapo ndio shida ilipoanzia. Hela alichukua nyingi kulikokazi aliyofanya uwezo wa kurudisha hela iliyobaki Hana . Nikapiga mahesabu nikaona Kwa hapa palipobaki akipewa angalau Dola elfu 6 anamalizia nikaongea na mteja akakubali kulipa hiyo hela.

Hapo pia akatoa mbili zikabaki mbili mteja akagoma kuongeza hela .

Ikabadi zilizobaki nitoe Mimi Kwa kampuni yangu sasa gharama ikazidi USD 1800 ambayo sijui yeye alikosea wapi kwenye operations zake ndio maana hela haikumtosha. Mimi namdai hiyo hela tangu December mpaka sasa hivi simu zangu hapokei na kila nikienda ofisini kwake simkuti.

Kosa nililofanya there was no signed agreement for both parties. Hivyo hata kudai kisheria nashindwa.

Naomba nipate msaada wa mawazo how can I get my money back. The guy inaonekana intentionally Hana Nia ya kunilipa.

Thanks nitasom mawazo yenu.
Mkuu wewe una deal na part gani ya magari au clearing tu pekeyake?
 
Kuna watu wanafikiri mikataba bla bla kwenye kudai inasaidia, huo ni ushahidi tu kwamba unadai.

Wadeni wengi hawakatai wanadaiwa, ni kwamba, hawana hela au fursa za kulipa.

Ukimpeleka mahakaman mahakama haikulipi, inashinikizwa tu akulipe na utaishia kulipwa kidogo kidogo.
Mkuu hata akinilipa kidogo kidogo Mimi sina shida . Let's say anipe Dola 100 kila mwezi sio tatizo.

Lengo ni awe na dhamira ya kunilipa tu kuliko hivi anavyonifanyia. Hizi biashara zetu ni chain hivyo tunasaidiana Sana.

Sometimes unapeleka mzigo hata Rwanda Bugarama huko na hauchukui hata advance Ila end of the day mzigo unafika Kwa mteja na malipoyako full unayapata.

Trust ndio msingi wa biashara Mkuu. Na watanzania wengi wanashindwa kusonga mbele Kwa sababu wanakosa uaminifu.

Nilijifunza hizi biashara Kwa wahindi na ninafanya nao kazi wengine hatujawahi hata kuonana Zaidi ya miaka Saba. Ni emails na money transactions Tu baada ya cargo Ku delivered . Ili huyu mwenzangu alitaka kuniharibia Kwa mteja ndio maana nikamalizia palipobakia ili nisionekane naanza ngonjera za Kitanzania.
 
Habari za usiku wanajamvi.
Kwanza nikiri kuwa nilifanya uzembe Kwa kuleta ujamaa kwenye biashara.

Nashughurika na Mambo ya Logistics sasa last year kuna jamaa yangu mmoja alifungua kampuni ya clearing & Forwarding Ila kupata kazi ilikuwa kipengele hivyo akaniomba nimpasie angalau wateja wawili naye ofisi iwe busy . Kiroho Safi nilimpasia mteja mmoja ambaye Kwa kuanzia alimpa container 8 za kupeleka Rwanda.

Ila quotations nilitoa Mimi nikampa averify akiona itamlipa basi aendelee Ila akiona haina faida aache. Akajiridhisha akasema anaweza Ku handle Ile business. Basi akapewa advance 50% ya makubaliano kuwa iliyobaki atapewa container zikifikq na kuwa offloaded.

La haula aliotoa container nne tu akasema Hana hela ya kumalizia zilizobaki hapo ndio shida ilipoanzia. Hela alichukua nyingi kulikokazi aliyofanya uwezo wa kurudisha hela iliyobaki Hana . Nikapiga mahesabu nikaona Kwa hapa palipobaki akipewa angalau Dola elfu 6 anamalizia nikaongea na mteja akakubali kulipa hiyo hela.

Hapo pia akatoa mbili zikabaki mbili mteja akagoma kuongeza hela .

Ikabadi zilizobaki nitoe Mimi Kwa kampuni yangu sasa gharama ikazidi USD 1800 ambayo sijui yeye alikosea wapi kwenye operations zake ndio maana hela haikumtosha. Mimi namdai hiyo hela tangu December mpaka sasa hivi simu zangu hapokei na kila nikienda ofisini kwake simkuti.

Kosa nililofanya there was no signed agreement for both parties. Hivyo hata kudai kisheria nashindwa.

Naomba nipate msaada wa mawazo how can I get my money back. The guy inaonekana intentionally Hana Nia ya kunilipa.

Thanks nitasom mawazo yenu.
Mara nyingi huwa tunaibiwa au kutapeliwa.Ikitokea hivyo usilazimishe kurudisha kilichopotea.Dai kwa kadri inavyowezekana lakini usivuke mipaka mpaka ukafikiria kutoa roho ya mtu au kujitoa roho yako mwenyewe.
Kwa ugumu uliouona samehe na weka mikakati mipya unapokusudia kufanya jambo la gharama kubwa.Mwenyezi Mungua atakufungulia upate kuliko hicho ulichokisamehe.
 
Mkuu hata akinilipa kidogo kidogo Mimi sina shida . Let's say anipe Dola 100 kila mwezi sio tatizo.

Lengo ni awe na dhamira ya kunilipa tu kuliko hivi anavyonifanyia. Hizi biashara zetu ni chain hivyo tunasaidiana Sana.

Sometimes unapeleka mzigo hata Rwanda Bugarama huko na hauchukui hata advance Ila end of the day mzigo unafika Kwa mteja na malipoyako full unayapata.

Trust ndio msingi wa biashara Mkuu. Na watanzania wengi wanashindwa kusonga mbele Kwa sababu wanakosa uaminifu.

Nilijifunza hizi biashara Kwa wahindi na ninafanya nao kazi wengine hatujawahi hata kuonana Zaidi ya miaka Saba. Ni emails na money transactions Tu baada ya cargo Ku delivered . Ili huyu mwenzangu alitaka kuniharibia Kwa mteja ndio maana nikamalizia palipobakia ili nisionekane naanza ngonjera za Kitanzania.

Unakaa Dar? Nitakushauri namna, usiende mahakaman, mpe presha kwa njia ya police.
 
Pole sana mkuu. Nilishakutana na mazingira kama yako. Hapo itabidi uchague moja kati ya Urafiki ama Pesa yako!

Kwamba ukidai pesa urafiki lazima ufe maana hautakuwa na spark kama zamani.
 
Back
Top Bottom