Nifanyaje kumpata binti ambaye ni maarufu?

shida ni fantasy mkuu, siyo tu mbususu
Sawa.....
Njia niliyoiona inafanya kazi, waarabu wanatumia kula maceleb wa insta ni kwanza uwe na hela, halafu uwasiliane nae dm.....

Wale waarabu wanawaambia huduma wanazotaka, wanawatumia nusu ya malipo, halafu wanakatia tiketi za ndege, kuwasafirisha, kazi inakua tayari
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui kwann nacheka.

Ila una tabia mbaya
 
Hamissa kaliwa sana na uncle angu, ila sasa daaah hiyo mizinga yake sio poa! Mara anaomba akatiwe tickets na wanaye waende Dubai mara tickets za ndege waende Mwanza maana joto la Dar linamuumiza mtoto.
 
Mm namtamani yule video queen wa kwenye nyimbo ya "yatapita" ya Diamond Platnumz, nimetamani lile paja, mguu, na rangi yake ya ngozi amadala Victoire To yeye Fastaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…