Nifanyaje kuzuia matangazo kuingia kwenye simu yangu wakati wa kutafuta kitu kwenye Browser

Hii mpaka YouTube?
 
Wakuu

Nifanyaje kuzuia matangazo kuingia kwenye simu yangu wakati natafuta kitu kwenye web browser

Nawakilisha hapa nashindwa hata kuandika
1. Tumia browser yenye ad block ya maana, mfano Firefox na Ublock origin.

Ukitembea site za ovyo ovyo tumia hio browser.

2. Tumia private DNS kama ya Adguard itablock matangazo.

3. Kagua mara kwa mara settings then apps futa apps uSizozijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…