Nifanyaje niwe Maarufu kama Dkt. Shika?

Jiite Muya ataho delivious halafu weka namba yako hadharani. Utakua maarufu ndani ya 24 hrs
 
Wasiliana na Lugumi, kuna mnada mwingine wa nyumba zake. Kama unaweza kupokea hela kutoka nje, strike a deal
 
Mnada wa zile nyumba za lugumi unarudiwa jumapili nakushauri nenda kafanye kama alivyofanya dr.shika lengo lako litatimia,nakutakia kila la heri katika kufikia lengo lako.
Hiyo haitakiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…