muya ataho
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 508
- 340
Jaman wana jamvi nimeona jinsi dk shika alivyokuwa maarufu ghafla mnisaidie niwe maarufu pia kama yeye nifanyeje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubali kuwa mke wangu utakuwa maarufu zaidi ya Dr shikaJaman wana jamvi nimeona jinsi dk shika alivyokuwa maarufu ghafla mnisaidie niwe maarufu pia kama yeye nifanyeje
Jaman wana jamvi nimeona jinsi dk shika alivyokuwa maarufu ghafla mnisaidie niwe maarufu pia kama yeye nifanyeje
Cwez mkosoa make anachapa kaziMKOSOE MKULU
Hiyo haitakikiMnada wa zile nyumba za lugumi unarudiwa jumapili nakushauri nenda kafanye kama alivyofanya dr.shika lengo lako litatimia,nakutakia kila la heri katika kufikia lengo lako.
Hunitaki memaKunywa Acid
Hiyo ishapita zilipendwaWasiliana na Lugumi, kuna mnada mwingine wa nyumba zake. Kama unaweza kupokea hela kutoka nje, strike a deal
Acha udwanziKubali kuwa mke wangu utakuwa maarufu zaidi ya Dr shika
Hiyo kesimteke Dr.shika kwa Masaa Machache
Ukiiona train inakuja hebu kalale kwenye reli ndani ya sekunde 30 tu utamzidi Dr. Shika umaarufu.
Poa asante kwa kushirikiJiite Muya ataho delivious halafu weka namba yako hadharani. Utakua maarufu ndani ya 24 hrs
Mkuu wewe ni ME au KE??Acha udwanzi
Hunitaki memaUkiiona train inakuja hebu kalale kwenye reli ndani ya sekunde 30 tu utamzidi Dr. Shika umaarufu.