Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuuuuTembea na boxer down town. Ukumbuke pia u-dr unamuongezea Shika.
Hapo unataka nijikute muhimbili mochwarNenda Kanye kwenye kiti cha magufuli utatangazwa hadi CCN
Ngoja niangalie TBC nione mtu anavyokua maarufu
[emoji3] [emoji3] Ndo vizr hata familia yako itahojiwa kwenye media nao watajulikana.We nina familia ujue
Hapana ushaur mbovu sana huo[emoji3] [emoji3] Ndo vizr hata familia yako itahojiwa kwenye media nao watajulikana.
Kanunue nyumba za lugumiJaman wana jamvi nimeona jinsi dk shika alivyokuwa maarufu ghafla mnisaidie niwe maarufu pia kama yeye nifanyeje
Shika kaisha jitengenezea jinaKanunue nyumba za lugumi
Mkuu wewe ni ME au KE??
Aaah usinitafutie BANItakuwa ni ke mkuu. Kuna tatizo kwani?
nenda posta mpya mcgana kweupe kanye hadharaniJaman wana jamvi nimeona jinsi dk shika alivyokuwa maarufu ghafla mnisaidie niwe maarufu pia kama yeye nifanyeje
Moja haitoshi, na lazima uwe comedian!Hata mimi ninayo ya sua
Hahaaanenda posta mpya mcgana kweupe kanye hadharani
Vamia mnada wa nyumba za lugumi kesho.Jaman wana jamvi nimeona jinsi dk shika alivyokuwa maarufu ghafla mnisaidie niwe maarufu pia kama yeye nifanyeje
Chukua nguruwe kamfunge msikitini siku ya ijumaa saa sita usipokuwa marufu zaidi ya dr shika njoo nikupe na mwisho kibokoJaman wana jamvi nimeona jinsi dk shika alivyokuwa maarufu ghafla mnisaidie niwe maarufu pia kama yeye nifanyeje
Nilichotaka kukujibu hadi mimi mwenyewe nimecheka sanaJaman wana jamvi nimeona jinsi dk shika alivyokuwa maarufu ghafla mnisaidie niwe maarufu pia kama yeye nifanyeje
Duh! Kumbe huwa unapenda kuoma vifo vya wenzako?Siku magu akija kitaani kwenu vamia jukwaa nenda kamkumbatie kwa nguvu
We mwehu kwelSiku magu akija kitaani kwenu vamia jukwaa nenda kamkumbatie kwa nguvu