Nifanyaje niwe Maarufu kama Dkt. Shika?

Nifanyaje niwe Maarufu kama Dkt. Shika?

Mungu anafanya kila jambo kwa wakati wake, usiwe na haraka siku yako ikifika utamzidi hata Dk Shika
 
Duh! Kumbe huwa unapenda kuoma vifo vya wenzako?
Jaman kauliza swali afanye nini ili awe maarufu ......anafikiri doctor shika kaupata umaarufu bure.....kachezea virungu vya police yule baada ya kuharibu mnada......kila kitu kina ghalama apambane na hali yake
 
Jaman wana jamvi nimeona jinsi dk shika alivyokuwa maarufu ghafla mnisaidie niwe maarufu pia kama yeye nifanyeje
Nipm nikushauri, watu wote maarufu wamepitia kwangu Gigi money,diamond, Zito kabwe, baadhi ya wakuu wa Mikoa hata Dr Shika mwenyewe.
 
Katwa vidole vinnne, ung'olewe meno, upondwe kidole mpaka niwe chapati, upigwe mabanzi mpaka sikio lichanike, uwe na connection na CIA, uwe na PhD AF uishi kwa kula mlo mmoja huku ukikaa geto la uswazi kisha utakuwa maarufu.
 
Hahaaaa
 
Back
Top Bottom