Nifanye biashara gani ambayo naweza kuingiza laki moja kila siku

Nifanye biashara gani ambayo naweza kuingiza laki moja kila siku

Joyful 95

Member
Joined
Oct 20, 2021
Posts
15
Reaction score
45
Hello nifanye biashara gani, lengo langu nipate angalau laki moja kila siku.

Binafsi napenda saloon ya kike lakini sina uhakika kama nitaingiza laki moja kwa siku.

Naomba Ushauri wenu tafadhali.
 
Incomplete thread.
Shusha details za kutosha, tujue mtaji ulioplan kuanza nao uko vp, huenda tukatia neno.
 
Hello nifanye biashara gani, lengo langu nipate angalau laki moja kila siku.

Binafsi napenda saloon ya kike lakini sina uhakika kama nitaingiza laki moja kwa siku.

Naomba Ushauri wenu tafadhali.
Laki ni net income manake profit (faida) au? Biashara ya laki moja faida kwa siku manake 3 million tshs faida kwa mwezi zipo nyingi tu lakini ujue inaweza kukuchukua hata miaka mitatu tokea biashara ianze hadi upate hio faida ya 100k kwa siku. TANZANIA YA LEO NGUMU SANA KUANZISHA BIASHARA LEO HALAFU BAADA YA MWEZI MMOJA ETI UONE FAIDA YA 100K KWA SIKU. Lakini ukipata Location nzuri sana kama city center, ukawa na product nzuri sana watu wanayoihitaji, na ambapo una supply chain nzuri ambapo product unaipata kwa bei ndogo ya wholesale, na ukasimamia MWENYEWE kuondoa wizi, INAWEZEKANA SANA.
 
Milioni 20 jenga vyumba 20 vya kupangisha,
Chumba simple cha kupangisha mpaka kukamilika ujenzi ni 1mil × 20 = 20mil.

Ni chumba simple,
Ukihitaji vyumba classic vitapungua idadi.

Fundi ninaye.
Ohh asante sana
 
"Nifanye biashara gani"
Ni swali gumu sana

Swali hili linaweza kujibiwa na
1. Unachopenda (Hobby yako)
2. Mazingira ulipo (Location)
3.Uzoefu (Experience)*
4.connection (network yako)
5.Mtaji
6.Muda (management) na
7.Watu (wasaidizi waaminifu)

Tafakari mambo haya 7 kwa kina.
 
Back
Top Bottom