Nifanye biashara gani ambayo naweza kuingiza laki moja kila siku

Nifanye biashara gani ambayo naweza kuingiza laki moja kila siku

Asante

Asante kwa ushauri
Kuna mambo ya msingi umeulizwa hukuyajibu.

Mfano, uko mkoa gani au wilaya gani? Ungependa biashara yako ufanye mkoa gani?

Huyo anaekushauri ujenzi wa vyumba 20 hamna kitu hapo. Mafundi wengi wapuuzi huwa wako vile wanarahisisha mambo ili wapate kazi mwisho wa siku utaishia vyumba 10 tuu tena bila kukamilika.

Biashara ya zipo nyingi lkn eleza unataka kufanya wapi?
 
Mimi nipo mkoa wa Dar Es Salaam...naishi Kigamboni....na ningependa biashara yangu nifanyie hapahapa Dar Es Salaam
 
Kwa hiyo wateja wakishawala wahudumu kwa sana, unawabadilisha ili wateja wasihame... Wanaendelea kula pisi mpya kila wakati...idea nzuri sana hii....
Shughuli ni kuzi import hizo pisi kila wakati nilishindwa kwa kweli! Bar mademu hawatakiwi kumaliza 3 mos! Uwe ushawabadili sasa hizo gharama unadhani ni lelemama
 
Mtaji wako ndiyo utaamua upate faida kiasi gani, vinginevyo ni ndoto za mchana hizo.
 
Daah
Kuwa mpole sana kufanya maamuzi usije angamiza hela yako.

enewei nilikuwa najua mtu akikuita dear anakupenda nashangaa wewe unawaita watu dear, kumbe kishkaji tuu
nimetongoza wengi kisa kuniita dear tuu.
 
Hello nifanye biashara gani, lengo langu nipate angalau laki moja kila siku.

Binafsi napenda saloon ya kike lakini sina uhakika kama nitaingiza laki moja kwa siku.

Naomba Ushauri wenu tafadhali.
Unicheki PM nikupe muongozo wa uhakika
 
Daah
Kuwa mpole sana kufanya maamuzi usije angamiza hela yako.

enewei nilikuwa najua mtu akikuita dear anakupenda nashangaa wewe unawaita watu dear, kumbe kishkaji tuu
nimetongoza wengi kisa kuniita dear tuu.
Kweli ww msangarufu ha ha.. basi ukawa ukiitwa dear unapagawa [emoji1][emoji1]
 
Joyful 95 hiyo ela ni nyingi inamake sense Sana kuiwekeza Kwa faida ya asilimia 10% Kwa mwez nakushaur fanya hivyo
10% X 20M = 2M per month
Mwezi mmoja Sawa na 20 working days Kwa faida ya 2M Kwa mwezi nisawa na laki moja Kwa siku kama unavotaka✅✅
Zingatia mtaji wako unabakia palepale20M
 
Back
Top Bottom