Nifanye biashara gani ambayo naweza kuingiza laki moja kila siku

Viwanja vipo vya bei rahisi....ila shida ni kwamba anaamisha vyumba vya aina gani?? Vya fremu au?
Mimi nazungumzia vyumba vya kupanga, hapo unapata vyumba 15 mpaka 20.
Naelewa ninachoandika.

Chumba kitakuwa hakina Tiles,
kitakuwa hakijapigwa plasta.
chumba hakitakuwa na dirisha za aluminium.
kitakuwa na grili na wavu tu.

vitu vyote hapo juu unaweza ukaviongeza hapo mbeleni na vyumba vyako vitakuwa vinapanda thamani.
 
Kwa ujenzi huo unamkomowa nani?
 
Hello nifanye biashara gani, lengo langu nipate angalau laki moja kila siku.

Binafsi napenda saloon ya kike lakini sina uhakika kama nitaingiza laki moja kwa siku.

Naomba Ushauri wenu tafadhali.
kama upo seriously ni PM
 
Hii reply inamtosha mtunga thread.
Abaki kuchakata akili yake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…