Mjapaniz008
New Member
- Mar 17, 2024
- 3
- 8
Waeleze wadauu uko mazingira ya kijijini au mjini?, Ideas hutegemea mahala ulipo.Nina mtaji wa laki 2 Je ni biashara gani inaweza ikakidhi mtaji wangu.
Nipo Mbinga-RuvumaToa location ulipo mkuu,biashara znatofautiana kulinfana na mazngira
Wekeza katika Siasa.Nilikuwa naomba mnishauri jambo. Nina mtaji wa laki 2 Je ni biashara gani inaweza ikakidhi mtaji wangu.
Nipo Ruvuma-MbingaWeka location bwana mdg hiyo laki mbili kuna seheme unaweza fanya big business na kuna sehem huwezi kabisa labda vitumbua
nataka mzigo wa 50 na skankaBhange kaka bhange ni sawa kabisaaa... 200k unapata mzigo wa kutosha... Nafanya delivery moja kwa moja Niko mbeya. Kama unahitaji njoo PM.
Kama huna aibu choma mishikaki, uza mia tatu mia tatu, uza na ndizo choma ,tengeneza kachumbari nzuri ,mazingira yako ya kazi pia yawe masafi.Habari zenu wapendwa,
Mimi ni kijana wa miaka 26, Nimesomea Bachelor of Human Resource Managment nmemaliza mwaka jana 2023 lakini sijabahatika kupata ajira.
Nilikuwa naomba mnishauri jambo. Nina mtaji wa laki 2 Je ni biashara gani inaweza ikakidhi mtaji wangu.
Ahsanteni
Nimeona insta kuna mtu anauza simu za tochi Nokia kwa bei ya jumla. Simu 10 anauza 185,000tzs nadhani hiyo biashara inaweza kuendana ma msingi wakoHabari zenu wapendwa,