Nifanye biashara gani kwa mtaji wa laki mbili?

Nifanye biashara gani kwa mtaji wa laki mbili?

Nina mtaji wa laki 2 Je ni biashara gani inaweza ikakidhi mtaji wangu.
Waeleze wadauu uko mazingira ya kijijini au mjini?, Ideas hutegemea mahala ulipo.

Mfano Mtu aliye Mwanza - ziwani, ideas zake za biashara ni tofauti na Mtu wa Dar - magomeni

Au "just" Taja mkoa wadau watakusaidia idea ya nini cha kufanya.
 
Weka location bwana mdg hiyo laki mbili kuna seheme unaweza fanya big business na kuna sehem huwezi kabisa labda vitumbua
 
Nilikuwa naomba mnishauri jambo. Nina mtaji wa laki 2 Je ni biashara gani inaweza ikakidhi mtaji wangu.
Wekeza katika Siasa.

Tumia mtaji huo kuchangia kwa Kijana ama Vijana wenye uwezo wa kumshinda Mwenyekiti wa CHADEMA taifa kwenye kura.

Mrejesho, ni urefu wa kamba yako tu-mtaji wako.

Toa ndugu. Bwana anakuona rohoni mwako. Saidia CHADEMA.
 
Mbombo ngafu, ndio maana inasemekana idea ni muhimu huenda hata kuliko mtaji usio mtaji.
 
Nenda hapo kigonsera au mkako
Uwe chinga wa mahindi kutoa maeneo hayo kupeleka hapo songea mjini
 
Habari zenu wapendwa,

Mimi ni kijana wa miaka 26, Nimesomea Bachelor of Human Resource Managment nmemaliza mwaka jana 2023 lakini sijabahatika kupata ajira.

Nilikuwa naomba mnishauri jambo. Nina mtaji wa laki 2 Je ni biashara gani inaweza ikakidhi mtaji wangu.

Ahsanteni
Kama huna aibu choma mishikaki, uza mia tatu mia tatu, uza na ndizo choma ,tengeneza kachumbari nzuri ,mazingira yako ya kazi pia yawe masafi.

Biashara nyingine kwa mtaji huo uza matunda.
 
Uza chochote Mali yako uongezee kwenye mtaji angalau ufikishe laki nne then Zama Poli nunua maindi gunia kumi ludi mjini uza jumla. Nb laki tatu nunuli mzigo laki 1 ni nauli na dharura zingine:
RUFIJI
 
Habari zenu wapendwa,

Mimi ni kijana wa miaka 26, Nimesomea Bachelor of Human Resource Managment nmemaliza mwaka jana 2023 lakini sijabahatika kupata ajira.

Nilikuwa naomba mnishauri jambo. Nina mtaji wa laki 2 Je ni biashara gani inaweza ikakidhi mtaji wangu.

Ahsanteni
Nimeona insta kuna mtu anauza simu za tochi Nokia kwa bei ya jumla. Simu 10 anauza 185,000tzs nadhani hiyo biashara inaweza kuendana ma msingi wako
Note: Sijui kama hizi simu ni fake ama original... Muuzaji anajinadi ni kutoka Dubai, kwangu naona kitu cha msingi ni ziwe zinafanya kazi tu mengine yote hayana umuhimu
 
Laki mbili ndogo aisee kama vipi ulizia mtingo hapo mbambabay wa bandari kama umeanza Ili tutinge tupate marundo ya kutosha
 
Mm Nipo mkoa wa Tanga, Kwa laki tatu naweza fanya biashara gan inayoweza niingizia elf5 per day wakuu naombeni ushauri wenu please!
 
Back
Top Bottom