Nifanye maamuzi gani kwa huyu mwanamke?

Nifanye maamuzi gani kwa huyu mwanamke?

Hapa najiona pia kwa adui "ujinga" kati ya maadui watatu
Tujitahid huwakimbiza hao maadui wa taifa.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Kuna comment moja nilisoma youtube,,ni moja ya comment bora kabisa inasema:

furahia na mwanamke ukiwa nae na akienda usipoteze mda kumfikiria ila jiweke bize na mambo yako,ukitaka uaminifu wa mwanamke utakuwa dhaifu na kukosa nguvu kama mwanaume,uaminifu ni jukumu lake na si lako

Nimeipenda hii
 
Kuna comment moja nilisoma youtube,,ni moja ya comment bora kabisa inasema:

furahia na mwanamke ukiwa nae na akienda usipoteze mda kumfikiria ila jiweke bize na mambo yako,ukitaka uaminifu wa mwanamke utakuwa dhaifu na kukosa nguvu kama mwanaume,uaminifu ni jukumu lake na si lako

Nimeipenda hii
Hii kama vle imekaa poa sana bro... nmeielewa na mimi
 
Habarini wadau.

Niende moja kwa moja kwenye mada...
Huyu mrembo wangu nimekuwa naye kwa zaidi ya miaka mitatu. Kabla hatujaanza kuishi pamoja alipata kazi mkoa wa mbali kidogo (dar) na hapa ninapoishi mimi (Arusha). Alienda na alifanya kazi hio kwa miezi 9 tu kisha akaachana nayo na kurudi nilipo mimi na kuendelea na shughuli alizokuwa akifanya kipindi cha nyuma.

Kwa vile tulishatambulishana na mahari nimemtolea sikuona vibaya kuanza kuishi nae kabla ya ndoa. Alibeba kila kilicho chake na kuhamia kwangu rasmi.
Juzi wakati tukiwa kwny stori za hapa na pale, aliomba kuangalia simu yangu ninayoitumia. Sikuona tabu nikampatia, cha ajabu hakuhangaika na vilivyomo ndani, badala yake alitoa kava na kuikagua jinsi ilivyo kwa nje kisha akatabasamu na kusema kuwa ameipenda, na kama haitakuwa noma tubadilishane simu.

Sikuwa na neno coz namjua anapenda sana show offs. Japo yake pia n simu kali ila nilimkubalia. Tukahamisha details muhimu then tukabalilishana simu.
Jana nlipotoka job sikuwa na la kufanya, nikaona si mbaya nipitepite kwa simu hii niizoee mkononi.
Nlijikuta nmefika kwny trash (zinapohifadhiwa picha na video zilizofutwa kabla ya kufutika mazima).

Nilikutana na picha nyingi sana za mwanamke wangu akiwa ktk moja ya fukwe maarufu sana dar na alipiga kipindi ambacho alienda huko alipopata kazi aloifanya kwa muda mdogo na kurejea mkoani. Amevalia nguo ambazo hata mimi sijawah kuziona.
Pia zipo video akiwa na jamaa flan hv wakibebana na kucheza kwenye mchanga wa Beach wakiwa nusu uchi.

Hapa nimepigwa butwaa sielew nichukue maamuzi yapi kwa sasa. Bado sijamwambia chochote had sasa.

Maoni yenu n muhimu wakuu.
Mle tiGo alafu muache
 
Sina hata hamu nae. Haya manguo na mazaga yake nayakadiria niyataftie kigari kiyapeleke kwao tu. Ndo ubinadam nlobak nao juu yake
Kuna mambo sita mwanamke anayecheat huwa nayo,nakupa moja ishi nalo

Ukimhoji na kutaka kujua mambo flan flan atakwambia yan mimi huniamini mbona unakuwa na hofu isiyo na sababu au atakwambia mimi na yule jamaa ni marafiki tu

Shtuka boss
 
Back
Top Bottom