Nifanye maamuzi gani kwa huyu mwanamke?

Nimekusoma vyema bro
 
Pole sana mkuu.

Katika makosa yote ambayo hupaswi kumsamehe mwanamke ni CHEATING. Mwanamke msaliti hasameheki, sababu ya kutosameheka ni moja tu, hatoweza kuacha kurudia hiko kitendo cha kusaliti, either umejua au hujajua ila ataendelea tu na huo mchezo.

Tunza hizo picha sehemu kadhaa, kaa nae chini na umwambie mmefika mwisho wa mapenzi yenu. Achana na machozi atakayotoa, achana na maneno ya kujishusha na kuomba msamaha atakayotoa, ni hisia tu hizo ila ukishamrudisha ktk nafasi yake baada ya muda atasahau.

Tunakwambia hivi sababu tayari tumewahi kupitia mazingira kama yako, mwanamke aliyetolewa mahari au anakaribia kutolewa mahari hapaswi tu kucheat ila hata kuwaza kucheat hapaswi kabisa kuwaza. Dalili zote unazoona kwenye uchumba, ndani ya ndoa inakuwa ni mara mbili yake.

Tafuta humu wanaume waliowahi kusamehe wapenzi wao kwa kesi za cheating je, wake zao walibadilika?
 
Ingawa utasikia, Nenda church, Katoe sadaka ya shukrani, samehe Maharishi, mfukuze Leo!

Kamwe, kamwe, mwanamke Malaya hatobadilika, umalaya unazidi baada ya Ndoa!

Kama Mchumba anatoka nje wakati wa uchumba, expect Kuwa atatoka zaidi wakati wa ndoa!
Nakazia.
 
Shukran bro. Hii reply itabidi niisome mara kadhaa. Naona itanifungua akili
 
Utakuwa MPUMBAVU wa kiwango cha juu kabisa ukimsamehe msaliti kama huyo.
Kabla haujamfukuza wapigie wazazi wake uwape taarifa kwamba binti yao umemtimua halafu kata simu usiwasikilize ushauri wao.
Mfukuze huyo MALAYA kwa amani ya moyo wako.
SIMPS watapinga.
 
Mtumie hiyo video aliyobebwa akiwa ufukweni na jamaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…