Nifanye maamuzi gani kwa huyu mwanamke?

Shukran bro. Hii reply itabidi niisome mara kadhaa. Naona itanifungua akili
Tunajua kwamba mapenzi hayashauriki na kuna muda unaweza kuona mpenzi wako atabadilika kwa vile unavyoamini, kwa bahati mbaya sana mambo hayapo hivyo.

Usipochukua hatua sasa kwa huyo binti, ipo siku utarudi hapa na maumivu makali zaidi.
 
Bro tulia, ondoa wasiwasi, Mimi namfahamu kabisa huyo jamaa ni rafiki yake tu walisoma wote Wala hawajafanya chochote, alikua anamfundisha tu kuogelea na aizoee bahari, ila wanaheshimiana sana kama kaka na dada.
 
 
Amna kitu kizuri kama kuchapa chapa makalio ya pisi yako mkiwa Beach. Sijui nilkua nataka kusemaje
 
Kama hamjaowana ni mali ya umma hiyo, usitusumbuwe.

Wewe ulimpataje wenzako washindwe?
 
Huyo demu wako na huyo jamaa walikuwa wana act filamu kwahiyo umeona scenes chache Za hiyo movie.

Achana Na huyo mwanamke fala wewe
 
Yote kwa yote jitahidi kuhudhuria ktk vikao vya wanaume bila kukosa.....

Ungekua unahudhuria vikao usingehitaji ushauri kutoka hapa JF.....

Naungana na wana waliosema "never neglect the red flag"
 

Spin Doctor At Work.
 
Zilistore kwanza hizo picha kama ushahidi. Maana huko trash zikifikisha siku 30 zinafutika mazima.
 
Muulize na umonyeshe hizo picha umuulize huyo mtu ni nani halafu urudi huku uombe ushauri,inawezekana akakwambia ni photoshop,au alimkodi jamaa ili apige picha naye akionyesha yuko beach ila HAWAJAFANYA KITU,sasa ukirudi huku utapewa ushauri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…