Nifanye maamuzi gani kwa huyu mwanamke?

Chai
 
Dem nlonae n huyu tu.
Kama umeamua kumchunguza maliza kabisa:

1. Ingia katika Google yake kisha ingia Google Photos.

2. Katika hiyo simu angalia browsing history yake.

3. Na mwisho, chukua App yake ya Uber au Bolt angalia trip history na muda wa izo trip.

Mwisho kabisa inabidi uongee nae man to man hiyo issue ujue response yake.

Otherwise kubali kushindwa.
 
Stori za kutunga.
 
Nafanya hvo mkuu
 
Mkuu umeifunga mada.
Comment fupi lakini imegusa maeneo yote muhimu.
 
Uko sahihi Mkuu hapo amani ya moyo juu yake hauwezi kuipata tena hata kama atapotezea vipi haiwezi potea mood swing za furaha na hasira ataishi nazo siku zote, kiufupi ameshavuruga afya ya akili kwenye upande wa mahusiano.
 
Mbona kawaida Sana, Anza naye pale ulipomkutia...ya nyuma achana nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…