muache aende.Habari za siku wakuu...,
Nipo na huyu binti hapa geto kwangu ni mwezi wa 2 sasa tangu nihamie hapa ila huyu bibie anadai ameyachoka haya maisha hapa geto je nifanyaje wakuu ili huyu mrembo wangu asinikimbie..,
Nipeni ushauri wakuu maana binti mwenyewe ndo huyu hapa anadai ameyachoka haya maisha anataka nikimbia..
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1163381
Hii ngumu sana kumeza yani kama ni mwanamke akacheze na pipes/dushe afu akirudi ndio niamini ni wangu!!