Nifanye nini ili huyu mrembo asinikimbie katika maisha haya?

Nifanye nini ili huyu mrembo asinikimbie katika maisha haya?

Saoka

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Posts
441
Reaction score
643
Habari za siku wakuu.

Nipo na huyu binti hapa geto kwangu ni mwezi wa 2 sasa tangu nihamie hapa ila huyu bibie anadai ameyachoka haya maisha hapa geto

Je nifanyaje wakuu ili huyu mrembo wangu asinikimbie?

Nipeni ushauri wakuu maana binti mwenyewe ndo huyu hapa anadai ameyachoka haya maisha anataka nikimbia..

[
FB_IMG_1564142750622.jpeg
 
Habari za siku wakuu...,
Nipo na huyu binti hapa geto kwangu ni mwezi wa 2 sasa tangu nihamie hapa ila huyu bibie anadai ameyachoka haya maisha hapa geto je nifanyaje wakuu ili huyu mrembo wangu asinikimbie..,


Nipeni ushauri wakuu maana binti mwenyewe ndo huyu hapa anadai ameyachoka haya maisha anataka nikimbia..

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1163381
muache aende.
ukiachwa achika
 
Vipi kwani kauli mbiu ya mwanaume mashine imeshindwa kuzaa matunda?
Au umekuwa mvivu mkuu?
 
ata ivo kukubalia pekee anamoyo sana....mshukuru kwa hilo..maana geto kama hilo ndoto anazoota mtoto wa watu ni kama vike kukabwa na wachawi,vibwengo,kukimbizwa na chui uku una mguu mmoja,,kuota umeichagua ccm,,kuota umekabwa na mihogo,,kwakweli natarajia lazima mdada wa watu usiku anaota ndoto mbaya sana..give her the break
 
Kwa mabinti wa sasa, kitendo cha kukubali kuishi nawe kwenye hili geto hata mwezi 1 tu! Huyo anao upendo wa dhati na moyo mkuu kwako!

Muheshimu sana huyo binti. Tafuta pesa hama nyumba, Nunua Godoro jipya.
 
Back
Top Bottom