Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukifanya kulinganisha na lile geto la Ndege John,,geto la ndege ni kama 5star hotel wakati hili ni kilogde cha mtaani tu..
Ngoja nijikaze tu niwe nakula papuchi basiMwanamke yupo hivi ukifanya jitihada awe wako peke yako ndo anaaondoka.Ukiwa simple tu bila juhudi anabaki..
We gonga tu tafuta hela usijipe stress akitaka kubaki stabaki akitaka kuondoka ataondoka.
Kwa ghetto hilo mzee baba labda umuwekee budget ya vyakula vizuri ,women love vinono,ukimpa utamchelewesha kidogo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Jua likiwaka hapo mchana waliopo nje wapita njia watabaki wakiskia harufu ya nyama choma
Ila nataka nivute mwingineNaona umepiga full suti mkuu, bati kuanzia msingi mpaka kuezeka noma sana, kipindi cha joto inakua kama mpo kwenye kikaangio[emoji3] [emoji3] .ila safi sana pambanaa. Bibie asikukimbie bana hata mbuyu ulianza kama mchicha mbona
kama kibanda cha wakimbizi kigoma.Hilo sio geto mkuu bali nikambi yaujenzi wachamwino
nimemic kuitwa na wewe vile vizuri vizuri.Naona umepiga full suti mkuu, bati kuanzia msingi mpaka kuezeka noma sana, kipindi cha joto inakua kama mpo kwenye kikaangio[emoji3] [emoji3] .ila safi sana pambanaa. Bibie asikukimbie bana hata mbuyu ulianza kama mchicha mbona
Chizi mkuyeee, ufurahi sasa ,mambo lakininimemic kuitwa na wewe vile vizuri vizuri.
Kilahisi hivo?Tafuta pesa Hama hapo
Na full suti yako, nani atakubali mng'ang'anie huyo huyo asiondoke shauri yakooIla nataka nivute mwingine
[emoji23] umenikosha sana. shwari mzima wewe?Chizi mkuyeee, ufurahi sasa ,mambo lakini
Jiweke nafasi ya huyo bibie[emoji23][emoji23][emoji23]Naona umepiga full suti mkuu, bati kuanzia msingi mpaka kuezeka noma sana, kipindi cha joto inakua kama mpo kwenye kikaangio[emoji3] [emoji3] .ila safi sana pambanaa. Bibie asikukimbie bana hata mbuyu ulianza kama mchicha mbona
Mkuu hapo hiyo kauli haifui dafuVipi kwani kauli mbiu ya mwanaume mashine imeshindwa kuzaa matinda?
Au umekuwa mvivu mkuu?