Nifanye nini ili huyu mrembo asinikimbie katika maisha haya?

Nifanye nini ili huyu mrembo asinikimbie katika maisha haya?

[emoji23][emoji23]Tukifanya kulinganisha na lile geto la Ndege John,,geto la ndege ni kama 5star hotel wakati hili ni kilogde cha mtaani tu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwanamke yupo hivi ukifanya jitihada awe wako peke yako ndo anaaondoka.Ukiwa simple tu bila juhudi anabaki..

We gonga tu tafuta hela usijipe stress akitaka kubaki stabaki akitaka kuondoka ataondoka.

Kwa ghetto hilo mzee baba labda umuwekee budget ya vyakula vizuri ,women love vinono,ukimpa utamchelewesha kidogo
 
Ngoja nijikaze tu niwe nakula papuchi basi
 
Naona umepiga full suti mkuu, bati kuanzia msingi mpaka kuezeka noma sana, kipindi cha joto inakua kama mpo kwenye kikaangio[emoji3] [emoji3] .ila safi sana pambanaa. Bibie asikukimbie bana hata mbuyu ulianza kama mchicha mbona
Jiweke nafasi ya huyo bibie[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom